Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

Elon Musk amepredict Coding kama moja ya kazi zitakazo survive AI Takeover.
 
code iliyojaa bloats kwa noobie ni sawa, kwa pro si sawa
hakuna pro anayejielewa akategemea kutengeneza code kwa AI
Ntakuona pro kama unakuja na new algorithm ambayo Ai haiwez kugenerate
Wew una APP gan Ai haiwez generate tuone u pro ujinga wako.
 
rookie ndo hukimbilia AI, pro huwezimkuta akihangaika na ujinga huo
Hii ni leo


Prime Minister Netanyahu at the signing of a Memorandum of Understanding for cooperation in energy and artificial intelligence with the US: "The future belongs to those who innovate - and America and Israel are the best countries in innovation."**

The State of Israel and the United States signed a Memorandum of Understanding (MoU) today to advance cooperation in the fields of energy and artificial intelligence (Al).
 
Ntakuona pro kama unakuja na new algorithm ambayo Ai haiwez kugenerate
Wew una APP gan Ai haiwez generate tuone u pro ujinga wako.
AI ina-generate bloated code, nzuri kwa novices, kwa vet ni lundo la "garbage"
 
hmm, hii iko nje ya mada
 
Brother , hapa sio wanafunzi , hapa wapo developers wanaotakiwa kuwa productive na wanaoweza kupunguza muda kwenye coding. Wanaoweza kukimbizana na muda ili kutengeneza pesa.

Wanafunzi ndo wanaotakiwa kufundishwa basics na si programmer mbobevu. Yeye alishapita hizo level anachotakiwa ni uharaka na ufanisi.
 
AI ina msaada ila haina consistency...

Kuna wakati inaweza kukupoteza kama hauko makini, ni kitu kinafaa kutumiwa kwa umakini mkubwa.
 
Kwahiyo huyo pro ndio anajua kuliko AI
ndiyo, sababu LLMs za AI zimekuwa modelled na datasets zilizokusanywa na majibu ya hao pro, au training datasets zimetoka hewani ?
 
Kila kitu na kazi zote zinaweza kufanywa na ai lakini isipokuwa code lazima kunaitaji msimamizi ambaye ni binadamu.

Ai mpaka sasa anaweza kutengeneza code lakini ni kwa kiwango kidogo sana kwamba bado anahitaji uongozwaji na uangalizi hata yule anaye tengeneza anapaswa awe na skills za code kwa undani sana.

Hata miaka ijayo bado kwenye upande wa code binadamu ndio atabaki kufanya hiyo kazi lakini huwenda kazi zote zikafanywa na AI ila tu code language itahitaji usimamizi wa binadamu.
 
ndiyo, sababu LLMs za AI zimekuwa modelled na datasets zilizokusanywa na majibu ya hao pro, au training datasets zimetoka hewani ?
code bado zitaendelea kuhitaji usimamizi wa binadamu AI atatengeneza lakini ni kwa kiwango kidogo sana
 
Tukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
Kipo Amazon

Big Brain : The Origins and Future of Human Intelligence
 
Watu wanasema tujifunze AI sasa unajifunza nn hapo na jyie
Hapo Kuna majigambo.. huwezi ita AI upuuzi mtupu.. AI huwezi kuiondoa kwa sasa.. ipo pale ku assist mambo flani na kukupa concept personal I am software engineering, na AI naitumia kwa baadhi ya mazingira.. na sio tu software engineering nina knowledge pana kuhusu Cyber security toka 2015 nina uzoefu wa 10 years..
 
nitumie kazi yako uliyoifanya nione ?
 
AI ni nzuri kwa wakongwe wa coding.

Ila kwa mtazamo wangu naona AI si nzuri kama wewe ndio mwanafunzi unajifunza coding.
Unapojifunza, unatakiwa utafakari tatizo na utafute suluhisho.
Sasa kama suluhisho linaandikwa na AI ni vipi wanafunzi watajifunza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…