Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
alafu ?nitumie kazi yako uliyoifanya nione ?
AI no msaidizi, ila inafubaza .antiki. Ni sawa na kuruhusu matumizi ya calculator kuanzia darasa la kwanza, mtoto hatajua mantiki ya kujumlisha vitu, au kugawana. Wala hatajua ni mazingira gani natakiwa kujumlisha, na yapi natakiwa kugawa. Ila akipewa maelekezo ya kujumlisha au kugawa, atapatia maana anaweza kutumia calculatorTukubali AI kama msaidizi — si adui. Kumbuka: AI haibadilishi akili ya binadamu, bali huiongeza nguvu.
Wewe ndio unaniambia ni pro code master nimekupima IQ yako kwa hii type ya jibu lako inaonesha wewe hamna kitu code inahitajika mtu genius.alafu ?
Wewe nikuoneshe nilichofanya kama nani ?Wewe ndio unaniambia ni pro code master nimekupima IQ yako kwa hii type ya jibu lako inaonesha wewe hamna kitu code inahitajika mtu genius.
Mda mwengine majibu yako yanaweza kukuonesha uwezo wako wa IQ kwa upande wangu samahani laki. jiulize ulituambia ni pro kwa yupi aliye kuuliza ? je mimi kutaka kuona ubunifu wako kama ulivyosema ni kosa ? au basi sitaki kuona kazi zako tena.
so negative, anyway hata haya ni maonesho ya kazi yako kwangu.Wewe nikuoneshe nilichofanya kama nani ?
na ili iweje ? Unamaneno mengi kama kasuku
Ungekuwa genius, ungejibu swali ambalo lilikuwa jepesi sana. Ila unaanza leta taarabu kama mtoto wa kike. " unaka uone kazi nilizofanya kama nani ? na ili iweje simpleso negative, anyway hata haya ni maonesho ya kazi yako kwangu.
Unajua bro AI inakuja kama assistant. So kudharau sio sawa inakupungiza mzigo mkubwa ambao wewe kama coder ungetumia muda mrefu kukamilisha KAZI yako. Na tunapoelekea UPANDE WA tech utadorora maana AI itaendelea kujifunza mambo mapya kila siku so itareplace ujuzi mwingi WA tech tujipange.ndiyo, sababu LLMs za AI zimekuwa modelled na datasets zilizokusanywa na majibu ya hao pro, au training datasets zimetoka hewani ?
Sio ujinga mkuu sema ego zako
Nyie ndo mtasema kulima kwa treka ni uzembe watu waendelee kulima kwa jembe 😀😀😀😀😀
Sawa na muziki wa computer na wa band kutumia ala halisi. Wanamziki wakongwe( kina king kiki, Ali zoro nk ) waliamini ktk band kina diamond waka amini CD. Leo matajiri ni wale wanaotumia nyimbo za studio ya computer.Sio ujinga mkuu sema ego zako
Nyie ndo mtasema kulima kwa treka ni uzembe watu waendelee kulima kwa jembe 😀😀😀😀😀
Hakika akya nani lkn kizazi hiki,kitadumaa akili,fikra na ubunifu.yaani mwanamziki unajua tu kutumia mic baaasi umemaliza!! Hatari sana na bado wajivunia kabisaa.Sawa na muziki wa computer na wa band kutumia ala halisi. Wanamziki wakongwe( kina king kiki, Ali zoro nk ) waliamini ktk band kina diamond waka amini CD. Leo matajiri ni wale wanaotumia nyimbo za studio ya computer.
Jambo lingine ni hand writing vs keyboard/ office programs.
Autocad vs hand designing.
Mkuu ni suala la muda wala nguvu haitatumika wenyewe watanyooka.