Wakongwe wa hii platform jf mkuje na shout out kwenu

Basi kipindi hicho ukivaa mlegezo 🤣alafu staili ya kudunda babu lazima uwe nayo mimi nilikua najiita "bastola mbili" 🤣kundi letu lilkua linaitwa "guantanamo crew geita"GCG🤣
Hatari sana mkuu. Kulikuwa na ile era kiatu kirefu unavaa sox hata pair 5. Yani buti linatangulua kabla ya wewe kufika kukuhakikishia usalama. Jeans bwanga na tshirt kubwa.
Ulikuwa unachana nini mkuu na wana guantanamo?
 
Basi kipind hicho najiona afande sele, hapo naelimisha watu waache umalaya I was 15-18 hapo, nashangaa hizi siku za usoni nimekua mzee wa totozi 🤣hadi nishasahau kama mimi nilikuwaga nawahasa vijana wabaki njia kuu
 
Hatari sana mkuu. Kulikuwa na ile era kiatu kirefu unavaa sox hata pair 5. Yani buti linatangulua kabla ya wewe kufika kukuhakikishia usalama. Jeans bwanga na tshirt kubwa.
Ulikuwa unachana nini mkuu na wana guantanamo?
Kwenye wana guantanamo mmoja sahivi ni mhasibu, mwingine ni engineer wa umeme, mimi nilisoma biz administration Ila sahv ni boda boda 🤣
 
Back
Top Bottom