Wakongwe wa siasa naomba mtusaidie kuwatambua wanasiasa hawa

Wakongwe wa siasa naomba mtusaidie kuwatambua wanasiasa hawa

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo.

Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua nadhani pia na wengine wa miaka ya 90 wanaweza kuwa katika kundi langu lakini huenda walikuwa watu muhimu sana katika Taifa hili hivyo muhimu kuwatambua.

Msaada wa kufahamu( ukiwatoa Benard Membe na Hamad Rashid) kila mmoja na utumishi wake na historia yao kwa ufupi , Ahsanteni

musapambeje_-post-2021_12_06_07_14-2.jpg
 
Kama wewe kwa picha na video umeshindwa watambua sisi ambao hata video na picha hatuoni tutaweza kuwatambua?
 
Back
Top Bottom