barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wew jamaa too much, kila uzi upo!sasa kama we unawaza vingine mimi simaanishi hivyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew jamaa too much, kila uzi upo!sasa kama we unawaza vingine mimi simaanishi hivyo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] upo gud sn mkuu..Wakazane sana asee..Game Ngumu na ina ushindani
Nako2Nako Hawatuwezi....hahaha umenikumbusha mbali mkuuSie tunakomaa humu humu,Commercial Niggaz wana pumu,mistari inawahukumu....
ahahaha kawaida mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] upo gud sn mkuu..
sio kweli kauli yako, naweza kuithibitisha pia...sema baadhi ya post sio kila post mkuuWew jamaa too much, kila uzi upo!
pamoja sn mkuu...ahahaha kawaida mkuu
Wamuulize MKONGWE Jay Mo, mbinu anazo timia kukimbizana na Wadogo zake..!!Hawawezi kutoboa. Muda umewatupa mkono.
R.I.P Father NellyX plastaz
Acha kabsa mkuu hapolord eyes katoka mwenyewe Mtonyo wangu wapi,G nako weusi,Bu nako namuona mitaa ya milestone anakula maisha.
Ndio zetu kuwakilisha haaa hatujaja kuwashika kila unaposikia sauti hizi majamaa walikua utamu sana kwa hip hop.
Jana wamehojiwa wamesema linarudiThe chil is real kuliko nyeusi kwenye colour tuongee nao kuhusu nini wakat nao hawana sera, WAWIWO
jaman hatutakuja kupata kundi kali la hip hop kama NAKO TO NAKO