Wakongwe wanarudi kwa kasi kunapo game

Wakongwe wanarudi kwa kasi kunapo game

Acha kabsa mkuu hapo
Bado hujamuweka bonta
Dhaaa!!!

Kama lile ngoma la "hawatuwez"
Schokag kuiskiliza
Sijui nini kiliwakuta hawa machalii wa Arusha...hii ni soo mazee tupo arachuga town wenyewe wanaelewa hapa vipaji vipo sio ngekewa
 
The chil is real kuliko nyeusi kwenye colour tuongee nao kuhusu nini wakat nao hawana sera, WAWIWO

jaman hatutakuja kupata kundi kali la hip hop kama NAKO TO NAKO
Kila chali alikua mkaliii kwa n2n Soldiers
 
Binafsi nimemuelewa P1 Black
Ni nn mnataka hapa mazee ahaaa hapa shwariii...mdundo wa huu ngoma hata leo ukipigwa bado unabamba mbayaa

Enzi hizo kuna maproducers kama Amit Mentor,huyu majani ule ndo ulikua mziki
 
sana yaani nakumbukaga ngoma kama mchizi wangu lord anasema nikitazama juu mawinguni nmwona yesu najiuliza lini tutabadili mienendo yetu,, nyingine tunacheki kama club iko baing tunasain,
toa gambe weka gambe
 
Kuna moja buu Nako alitoa Siyo kwa ajili yaa hamniombea mema mnanimbea mabaya sio kwa ajili yaa lakini umekutana na na namba mbaya anakwambia tunabana kwenye mabanda ya staree hatumii tunakichanga
 
Ni nn mnataka hapa mazee ahaaa hapa shwariii...mdundo wa huu ngoma hata leo ukipigwa bado unabamba mbayaa

Enzi hizo kuna maproducers kama Amit Mentor,huyu majani ule ndo ulikua mziki
Sure ule mdundo ulikua umesimama hatari

Jamaa katoa ngoma mpya juzi kati binafsi nimemuelewa
 
Sijui nini kiliwakuta hawa machalii wa Arusha...hii ni soo mazee tupo arachuga town wenyewe wanaelewa hapa vipaji vipo sio ngekewa
Sembe na cha arusha vimetuaribia
Wasanii wetu aiseee
 
The chil is real kuliko nyeusi kwenye colour tuongee nao kuhusu nini wakat nao hawana sera, WAWIWO

jaman hatutakuja kupata kundi kali la hip hop kama NAKO TO NAKO
Kabsa mkuu hakuna kama
Hlo kund aiseee
 
Ile ngoma ya P1 Black ni kali manzee
 
Ule wimbo wake aloutoa hivi karibuni ni mkali sana asee dada akikaza akaachana kabisa na mambo ya ngada atakua juu vibaya mnoo,wale wakina V money wanazingua tu na ubeyonce wao they are tremendously fake!
Tumpe support tu
 
Back
Top Bottom