Wakongwe wanarudi kwa kasi kunapo game

Wakongwe wanarudi kwa kasi kunapo game

Wengi walijaribu wameshindwa kila jambo na wakati wake muda wao umewatupa mkono
 
Mwanadada saida kaloli yuko hai, Na kwa ile ngoma yake anaonekana yuko fit kabisa, tena ningewashauli wasanii wengine watumie nidundo ya namna ya yule mwanamama kuwa ni symbo ya aina ya music wa kutoka Tz
You mean mdundo wa kihaya......
 
Mpaka sasa Saida nimeona yuko vizuri,hao wengine wasubiri kidogoooo
 
Back
Top Bottom