Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wakati ukuta. ..usishindane naoP1 black,Saida karoli,Dudu baya,Tid,Chid Benz,Mansul...nk
Je watatoboa kwa Vijana kwa Digitalia?
Time will tell.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati ukuta. ..usishindane naoP1 black,Saida karoli,Dudu baya,Tid,Chid Benz,Mansul...nk
Je watatoboa kwa Vijana kwa Digitalia?
Time will tell.
Sana Tu AmerudiWakina dada wengi wanakopi uimbaji wa Ray C bora arudi mwenyewe tu
TID Bado YupoP1 black,Saida karoli,Dudu baya,Tid,Chid Benz,Mansul...nk
Je watatoboa kwa Vijana kwa Digitalia?
Time will tell.
Wakubali tu kwamba wameshakuwa wahenga....Wakati ukuta. ..usishindane nao
You mean mdundo wa kihaya......Mwanadada saida kaloli yuko hai, Na kwa ile ngoma yake anaonekana yuko fit kabisa, tena ningewashauli wasanii wengine watumie nidundo ya namna ya yule mwanamama kuwa ni symbo ya aina ya music wa kutoka Tz