Fresh asee mkuupamoja sn mkuu...
AlhamdulilahJana wamehojiwa wamesema linarudi
Tumemic mziki mzuriAlhamdulilah
Kuna moja buu Nako alitoa Siyo kwa ajili yaa hamniombea mema mnanimbea mabaya sio kwa ajili yaa lakini umekutana na na namba mbaya anakwambia tunabana kwenye mabanda ya staree hatumii tunakichangasana yaani nakumbukaga ngoma kama mchizi wangu lord anasema nikitazama juu mawinguni nmwona yesu najiuliza lini tutabadili mienendo yetu,, nyingine tunacheki kama club iko baing tunasain,
toa gambe weka gambe
Sure ule mdundo ulikua umesimama hatariNi nn mnataka hapa mazee ahaaa hapa shwariii...mdundo wa huu ngoma hata leo ukipigwa bado unabamba mbayaa
Enzi hizo kuna maproducers kama Amit Mentor,huyu majani ule ndo ulikua mziki
Yan cjui tuwafungie maombiNauza kura Yangu.
Sembe na cha arusha vimetuaribiaSijui nini kiliwakuta hawa machalii wa Arusha...hii ni soo mazee tupo arachuga town wenyewe wanaelewa hapa vipaji vipo sio ngekewa
Ndoto hyo mkuu hata likirudJana wamehojiwa wamesema linarudi
Kabsa mkuu hakuna kamaThe chil is real kuliko nyeusi kwenye colour tuongee nao kuhusu nini wakat nao hawana sera, WAWIWO
jaman hatutakuja kupata kundi kali la hip hop kama NAKO TO NAKO
Ule wimbo wake aloutoa hivi karibuni ni mkali sana asee dada akikaza akaachana kabisa na mambo ya ngada atakua juu vibaya mnoo,wale wakina V money wanazingua tu na ubeyonce wao they are tremendously fake!Wakina dada wengi wanakopi uimbaji wa Ray C bora arudi mwenyewe tu
Tumpe support tuUle wimbo wake aloutoa hivi karibuni ni mkali sana asee dada akikaza akaachana kabisa na mambo ya ngada atakua juu vibaya mnoo,wale wakina V money wanazingua tu na ubeyonce wao they are tremendously fake!