Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Sahihi kabisa mkuu, mtu wa 40s kama ana afya nzuri anakuwa na stamina sana, hakojoi kama jogoo. Yaani 40+ hatakupa magoli manne ila atakupa stamina na experience itakayomridhisha mwenzi wake.
 
AIsee ulifanya nini kwenye hio ID... 🀣Basi itakuwa na matukio si poa...
Wanasema usiamshe vilivyo lala . acha ipumzike kwa amani, ID ilijipatia mshangazi wa maana sana humu jf, ule ulikuwa mshangazi haswaaa, ulikuwa mrefu meupee umejazia una hela, una nywele ndefu kinoma ...mzuri ulikuwa unatoka kaskazini kati. πŸ₯ΈπŸ₯ΈπŸ₯Έ. ila acha ife hiyo ID iwe R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…