Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

aisee[emoji28] umenikumbusha mbali sana mkuu, enzi za msn
 
Honestly nimepata kitu hapa......

Kumbe Kuna watu wazima tuu ....... Aseeh shikamoo nii wazee
Karibu sana mdogo wangu,wazee tupo hapa kwa ushauri na miongozo mbali mbalia
Ina maana kumbe you are my brother nikajua age mate Juzi unalalamika kwenye garii.... Aseeh πŸ‘Š

Bwashee Noah Scribe adjee mzee... Au unataka shikamoo πŸ˜‚πŸ‘Š
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Aiseee navuta waya .. ila waya haufiki.. mie kijana wa 2010..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…