Mweeee!Najionea mashokolo mageni mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeee!Najionea mashokolo mageni mm
Sass 46 mzee toka wapiMzabzab 46 0f age😅
Huo ni uchokozi😅mtu akishajiunga tu jamii forum huyo tiyari ameingia utu uzima regarding age afu ujue vijana wa 2000 humu ni wa kuhesabuMnatupiana vineno na kina Poor Brain na Intelligent businessman wa 2006, bora mtulie mlee wajukuu tu hawa vijana hawana nidhamu watawavua nguo.
😅😅😅😅 Uje na Redbul za kutoshaaaWee bwana tulia nao mashangazi hayo naja
Wewe ni kijana mnyauko mwenye HIV+😅Sass 46 mzee toka wapi
aisee[emoji28] umenikumbusha mbali sana mkuu, enzi za msnView attachment 3204285
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..
View attachment 3204286
Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama sijasahau... watoto wengi humu kipindi hiki mnajisaidia kwenye nguo... kwa kipindi hiko hii ndio ilikuwa kama tinder sasa, nilipata manzi anaitwa Mwaju miaka hio sintosahau..
View attachment 3204288
Bongo5 miaka ya 2007/2008..
View attachment 3204289
Darhotwire miaka ya 2007/8/9... hapa wakongwe wengi mnakumbuka vingi sana kabla ya jamiiforums...
View attachment 3204290
Tanzatl, hii nadhani ilikuwa miaka ya 2004 kama sijasahu niko primary school ,.. kipindi hiko unamaliza darasa la saba una ndevu ushanyoa hadi upele kwenye kidevu..
View attachment 3204291
Jamboforums kabla haijavamiwa na watoto wa 2000s, hapa ni 2006/2007 nadhani kabla haijawa jamiiforums...
View attachment 3204292
Jamboforums 2006.... now jamiiforums, kipindi hiko wanafanya na donation ku run site...
View attachment 3204293
Business times au bcstimes.com--- hapa miaka ya 2004/2005 hata jamiiforums haipo, humu ndipo tulikuwa tunaingia kusoma habari, udaku, magazeti n.k
View attachment 3204297
Hii ni hi5 miaka ya 2002 kama sijasahau au 2003...
View attachment 3204299
Hii ni jambonet miaka ya 2004 i think so... hapa ilikuwa page under maintenence... nakumbuka...
View attachment 3204302
Hii ilikuwa ni YoungAfricans, miaka ya early 2000s.. kipindi hicho wengine ndio mnazaliwa halafu leo mnatutukana humu jamiiforums...
Aloo ni wengi mno, ila ndo wanaenda na mapigo ya humu kua watu wengi wamejipata.Huo ni uchokozi😅mtu akishajiunga tu jamii forum huyo tiyari ameingia utu uzima regarding age afu ujue vijana wa 2000 humu ni wa kuhesabu
Umesahau na theutamuwakongwe tulioharibikiwa tulikuwa tunapita rahatupu blog
sanaaaa woii[emoji1]ila zamani ilikuwa raha sana aisee.
Enzi hizo internet cafe kwa wingi alafu mara kuconnect kale kamlio...dah acha wazungu waitwe mungu maana wanafikiri sanaaisee[emoji28] umenikumbusha mbali sana mkuu, enzi za msn
Mimi na Intelligent businessman ndio pekee hatuna magari wala nyumba wala paspoti za kwenda buji khalifaAloo ni wengi mno, ila ndo wanaenda na mapigo ya humu kua watu wengi wamejipata.
Alooh!!! Kweli wabongo mnapenda ngono. Sii mchezoUmesahau na theutamu
yahoo ilikua na best look jamani enzi hizoKawaida ya jana ni nzuri kuliko leo,na ndivyo leo itakuwa nzuri itakapo fika kesho.
Hata hivyo nimekumbuka yahoo, ilikua ndio site yangu bora.
Hivi waptrick umeiweka?
Hapo chini ya hio screenshot kwenye redline mwaka 2006 huo, walikuwa online ni Nyani Ngabu ,JokaKuu na we ngine.
View attachment 3204314
basi humu nilikua sichomoki binti wa watu niliekua mvivu hata kupika[emoji23]View attachment 3204340
Sahihi mkuu... nakumbuka mbali sana..
Ina maana kumbe you are my brother nikajua age mate Juzi unalalamika kwenye garii.... Aseeh 👊Karibu sana mdogo wangu,wazee tupo hapa kwa ushauri na miongozo mbali mbalia
JokaKuuHapo chini ya hio screenshot kwenye redline mwaka 2006 huo, walikuwa online ni Nyani Ngabu ,JokaKuu na we ngine.
View attachment 3204314
😅😅😅 Aiseee navuta waya .. ila waya haufiki.. mie kijana wa 2010..Honestly nimepata kitu hapa......
Kumbe Kuna watu wazima tuu ....... Aseeh shikamoo nii wazee
Ina maana kumbe you are my brother nikajua age mate Juzi unalalamika kwenye garii.... Aseeh 👊
Bwashee Noah Scribe adjee mzee... Au unataka shikamoo 😂👊
TTT (T tatu) = Titi kubwa, Tako kubwa, Tumbo kubwa..!!! Bila hivi we ni kitoto cha afumbili..!!😅Sifa ya shangazi lazima awe na manyonyo makubwa