Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Tusiisahau Nyenzi.com
 
Hatukatai mkuu wewe ni mkongwe na maarufu wa kutunza screenshot za oldest websites,sasa nikuulize hiyo kazi yoote imekusaidia nn mpaka sasa hivi?Maana unavyojisifu utadhani imesaidia kukupa uwaziri wa teknolojia.
Tulia mdogo wangu alfu mbili... imenisaidia kuwakumbusha kwenye game tupo kitambo kipindi hiko mnajisaidia na kuchambwa sisi tupo online kwenye chatrooms tunatongoza watoto wazuri... hahahahh
 
Nimecheka kifala Bob kwamba mabraza wanazngua
 
Tulifaulu wawili tu kijiji kizima baada ya shule kufelisha miaka mitano! Tukaalikwa church, shule, serikali ya kijiji na ikaandaliwa sherehe, mwaka 1988 hiyo
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Zamani kusoma shule za serikali ni sifa kubwa sana, ila sasa hivi mambo yamebadilika, shule za serikali zinakimbiwa
 
Karibia 40 hiyooo, nawengine tayari imeshatupata[emoji1][emoji1][emoji1]. Siku hazigandi , hakuna kuogopa mana tunapita hapa duniani , hakuna atakaye baki, kikubwa tuufurahie wakati tulio nao na kukumbusha mambo ya nyuma na kuwa kumbuka ndugu jamaa na marafiki tulio kuwa nao enzi hizo ambao si kwa mapenzi yao walitangulia mbele za haki.

Hakika sote tunapita juu ya uso wa dunia hii. Hebu tufurahi tuu[emoji1732][emoji1732]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…