Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini