Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hahaha unabeba rundo la CHAWA wakusaidie ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hao kina ChoiceVariable80% ya walio hapo ukimchukua mmojammoja aeleze mkataba waliosaini ni ya aina gani, wallah nakuhakikishia hawajui lolote na wataongea vitu vya ajabu kabisa!
Hao chawa ndio watakuwa wapiga debe mwakani wakati wa kapmeni za uchaguzi mkuu, kwa hio wamebebwa kimkakati!Hahaha unabeba rundo la CHAWA wakusaidie ...
Hesabu inaonyesha wapo 30 au zaidiHao Watanzania 20 ni akina nani? Labda ukiwafahamu utajua kwanini wapo hapo.
AahaaaaaHiyo mbona ipo hata huku. Kwani Tundu Lissu mmoja ni sawa na kina Babu Tale million ngapi?