Mawazo yako ni potofu, ni lazima nikueleze hivyo.
"Chstian" has nothing to do with economic systems. You're lurching into bigotry for your own reasons.
Hata hujui kwamba hiyo unayoiita western kwamba maendeleo yao mengi yametokana na wizi, siyo wa raslimali pekee, kama utumwa, bali wizi wa vumbuzi maeneo mbalimbali duniani?
Sikiliza, huu ni mjadala tofauti kabisa na haya yanayojadiliwa kwenye mada hii; na sielewi kwa nini wewe umeamua tu ku-insert' kitu kisicho husiana kabisa na mada yenyewe.
Mara zote naamini,' generalization' za aina yako hii ni za kipuuzi na kijinga kabisa.
Najuwa utataka kuendelea kujibishana nami juu ya hili. Sina muda wa kupoteza na 'bigot' aliye wazi kama wewe.
Lakini..., huenda tukakutana siku nyingine humu JF, kwa sababu sina simile kabisa na watu wa aina yako.
Mwisho: usnihusishe na hiyo dini unayo-'disparage', hapa. Hainihusu.