Anamzidi mpaka lisu. Lisu mpaka leo hana uwezo wa kujibu hoja za steve nyerereKuna kila dalili Steve Nyerere kakuzidi uwezo wa kufikiri. Hatari sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamzidi mpaka lisu. Lisu mpaka leo hana uwezo wa kujibu hoja za steve nyerereKuna kila dalili Steve Nyerere kakuzidi uwezo wa kufikiri. Hatari sana.
We ulitaka lisu ahibishane na steve huko si kujishushia heshimaMbona steve nyerere anamtosha lisu. Alitoa statement moja laisu akakimbia ndumi mpaka leo lisu hajajibu hoja za steve nyerere. Lisu mna mu overrate tu hana analojua
Lisu ana heshima gani zaodi ya ku overarte tu ten achadema tu. Sisi huku ground tunamuona hana akili na hana busara yoyoteWe ulitaka lisu ahibishane na steve huko si kujishushia heshima
Ova
🤣😁🤣Hii nchi inaongozwa na watu hopeless kabisa, hakuna mwenye nafuu
Sasa steve naye nyie ndy think mnamuona 😄Lisu ana heshima gani zaodi ya ku overarte tu ten achadema tu. Sisi huku ground tunamuona hana akili na hana busara yoyote
Shida nyie mnamtukuza anayejisema sema jukwaani. Kuna watu hawajisemi lakini ni moto wa kuote mbali. Sasa lisu kwa mfano utamfananisha na kabudi kwa sheriaSasa steve naye nyie ndy think mnamuona 😄
Acha kuchekesha watu bana
Ova
😄 kwanza nmecheka tu ulivyomuweka steve kuwa ni think tank hukoShida nyie mnamtukuza anayejisema sema jukwaani. Kuna watu hawajisemi lakini ni moto wa kuote mbali. Sasa lisu kwa mfano utamfananisha na kabudi kwa sheria
Kabudi sema hana msimamoShida nyie mnamtukuza anayejisema sema jukwaani. Kuna watu hawajisemi lakini ni moto wa kuote mbali. Sasa lisu kwa mfano utamfananisha na kabudi kwa sheria
Prof wa sheria. Lisu pale huwa anapiga saluteKabudi sema hana msimamo
Kabudi alikuwa yule wakati wa jukwaa la katiba,syo sasa
Ova
😂😂😂 Hapo sasa nilicheki hao jamaa walikuwa wanaunda oil tanker wakishirikiana na Maersk ni u serious wa hali ya juu. Huku locomotives zimenunuliwa 2022 tu ila hadi sasa hoi na ndiyo hawaundi yani kuzi repair tu kipengele.Watu wako busy huko kwenye maship building yard, kwenye malocomotive factories, kwenye automotives factories, kwenye heavy engine manufacturing factories, kwenye maviwanda ya electronics huko.
Wengine wako busy kwenye research centres huko kudevelop new products waendane na kasi ya Dunia + kulinda brand zao kama Samsung, Hyundai nk.
Majeshi yako busy kwenye mapatrol huko na kujiweka sawa na adui zao kama North Korea na China Kwa mbali.
Kifupi Taifa liko busy na huku Kila mtu akiwa busy na productive, HUO MUDA WAKUJA MAMIA YA WATU KUONGEA NA WATU KUTOKA AFRICA UNAFIKIRI WANAUTOA WAPI?
Umeelezea vizuri sana ila nikupongeze kitu ulichohitimisha ndiyo mimi wasiwasi wangu huwa hapo tu u serious.Naomba nitoe ufafanuzi kidogo kutokana na ufahamu wangu juu ya hili. Hicho kilikuwa kikao cha directors wa Korea Kusini na wadau wa sanaa nchini kuanzia viongozi, waigizaji hadi watayarishaji wa maigizo na tamthilia .
Kwa msiofahamu hao ni directors wakubwa sana, hata kuwapata tu hao wanne ni bahati nasibu maana hao watu wana ratiba ngumu na hawapatikani kirahisi.
Naamini ya kwamba wadau hao wa sanaa kutoka nchini walipata nafasi hiyo kupitia kuwa ziarani na Rais, tofauti na hapo ingekuwa vigumu.
Msione soko la sanaa ya Korea limeteka dunia, hao watu mnaowaona hapo ni miongoni mwa walioiinua sanaa yao. Wasiwasi wangu ni matunda yatakayotakana na kikao hicho, wabongo tunajuana hatujawahi kuwa serious.
Mdakuzi
Amini uchawi upoKwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Hayo yote zimesababishwa na mfumo kristo, umewanyima Waislam elimu ukidhani kuwa umewaweza kumbe mbora wa wapangaji ni Allah. Amewafanya Waislam kuwa wafanya biashara. Na elimu yako lazima ukawapigie magoti wakuajiri.Halafu wakina FaizaFoxy Malaria 2 Mohamad said Accumen Mo Ritz Mohamed Abubakar et al wanasema hii nchi ina mfumo Kristo!
Unajuwa kikao cha nini hicho?Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Siku hizi pale "Foreign" hawawapi semina elekezi wanaokuwa kwenye misafara ya huko ughaibuni!!??Waswahili utawaweza.
Wakiwa Ugenini kama wenyeji na wakiwa wenyeji kama wageni
Una "utumwa" kwenye kichwa chako,ndio maana unaona fahari binadamu "kupigiwa goti" ili aajiriwe.Hayo yote zimesababishwa na mfumo kristo, umewanyima Waislam elimu ukidhani kuwa umewaweza kumbe mbora wa wapangaji ni Allah. Amewafanya Waislam kuwa wafanya biashara. Na elimu yako lazima ukawapigie magoti wakuajiri.
Mwenyezi Mungu hana hiyana.
Kama huelewi Kiswahili ni tatizo lako siyo langu.Una "utumwa" kwenye kichwa chako,ndio maana unaona fahari binadamu "kupigiwa goti" ili aajiriwe.
"Uarabu" wako leo umeudhihirisha hadharani peupe jukwaani JF.
Umetoa ufafanuzi mzuri sana, mimi nimekuelewa b... Asante sana.Naomba nitoe ufafanuzi kidogo kutokana na ufahamu wangu juu ya hili. Hicho kilikuwa kikao cha directors wa Korea Kusini na wadau wa sanaa nchini kuanzia viongozi, waigizaji hadi watayarishaji wa maigizo na tamthilia .