Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

average iq ya Korea (kusini) > 90 vs tanzagiza ~70 isitoshe Korea hakuna uislamu yaani ni O waislamu ukiondoa baadhi ya wanafunzi ktk nchi za kiislamu lkn kuna Christians wengi tu, Korean Christian Church ni moja kati ya Makanisa makubwa Duniani …

Kanisani Korea (Kusini)
View attachment 3008047
Kulikua hakuna haja ya kumention uislam zaidi ya Ismophobia tuh,na hakuna nchi duniani hapa ukose muislam,au waislam... waislam wapo hadi Vatican sembuse hapo Korea?unawewesekwa na uislam why.
 
Watu wanawaza wapate nafasi waanze kula mema ya nchi hakuna kiongozi anayeongea lolote saivi bila kusema Asante mama blablabla
Wewe umesahau tuh,drama hizo zimeanza enzi za mwendazake,kinachofanyika ni muendelezo tuh,so vumilia.
 
Hao watakuwa ni diaspora sababu wengi ni vibinti vimenyoa kihunihuni tu.halafu mbona meza upande wa wakorea zote zina vinywaji wkt hamna watu hapo.kipotokali imekaaje?

Sio diapora hao, hivyo vitoto ndio deputies anaopenda Samia chini yake. Anajua hawana upeo wa kum challenge lolote. Wazee anawaweka kwenye ma bodi na matume ya mipango mbali na yeye.

Wakorea wakaona huyu Mwafrika halfwit huyu ukitaka kumkuna mpe kiti cha pembeni ajisikie mwenyekiti.

Japo agenda yenu ni kuomba omba lakini unakalishwa kiti cha mwenyekiti kuzidi kukupumbaza wapitishe ya kwao
 
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.

Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.

Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!

Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.

Pia soma:

- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Kazi na Bata 👁
 
KIONGOZI MMOJA WA Korea aliulizwa na kiongozi wa AFRIKA
Huku Korea wengi wenu mna akili kubwa mno, nina imani kati ya 9/10 wana akili kubwa (BIG BRAINS) mno.

Yule kiongozi wa Korea akasema sio kweli, huku kwetu hatuna akili kubwa kama wengi wa watu wa Afrika, kati ya 1/10 ndio wana akili kubwa na Afrika 9/10 wana akili kubwa.

Kiongozi wa Afrika, akamuuliza una maana gani kusema hilo?

Kiongozi wa Korea akasema, Watu wa Afrika wenye akili kubwa 9/10 wanawachagua viongozi wasio na akili kubwa 1/10 ili wawaongoze na huku Korea ile ratio ya wenye akili kubwa 1/10 ndio wanachaguliwa kuwa viongozi kuwaongoza wale wasio na akili kubwa 9/10

Mfano mzuri ni hii post, viongozi wa Korea wa4 wako mbele ya viongozi wa Tanzania zaidi ya 30
 
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.

Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.

Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!

Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.

Pia soma:

- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Hao wanne washikilia njaa yetu ya watu milioni 60
 
1)Turkiye.
2)Qatar.
3)Kuwait.
4)Indonesia.
5)Malaysia.
6)Saudi Arabia
7)Oman
8)Brunei
9)UAE.
10)Bahrain
VIPI HAYA MATAIFA MASIKINI NA YANA UJINGA??
Haya mataifa ya kiislamu yana utajiri wa mafuta hakuna jingine! Hawana technologia halafu mafuta haya yanachimbwa na Total na Shell za Ulaya! Kwa nini Somalia, Yemeni ni ni nchi za Kirabu na hamna mandeleo yoyote? Pamoja na vita hizi nchi hazina mafuta. Kama sii mafuta nchi za kiarabu zingekuwa maskini sana
 
Hayab mataifa ya kiislamu yana utajiri wa mafuta hakuna jingine! Hawana technologia halafu mafuta haya yanachimbwa na Toatal na Shell za Ulaya? Kwa nini Somalia, Yemeni ni ni nchi za Kirabu na hanona mandeleo yoyote? Pamoja na vita hizi nchi hazina mafuta. Kama sii mafuta nchi za kiarabu zingekuwa maskini sana
😂😂😂😂😂Mkuu una uhakika na unachoongea!?
Hayo mataifa nilokutajia juu siyo yote ya kiarabu,muwe mnasoma kwa uelewa ndugu zanguni.
1)Turkiye-Turkish/persian descendants.
2)Malaysia & Indonesia -Indochinese.
Na hayo mataifa hayategemei mafuta peke yake.
Pia yana makampuni binafsi ya ndani ya uchimbaji mafuta ambayo mengine yanafadhiliwa na serikali.
Kama hayo mataifa matatu niloyatenga hapo juu yanaunda hadi silaha,kafuatilie night vision drones ziitwazo "Akinci" zimeundwa Turkiye.
Indonesia na Malaysia wamewekeza sekta mbali mbali hadi katika betri za magari ya umeme na soon wataunda hayo magari ya umeme full.
Kina Saudi Arabia,Qatar na waliobakia nao wameanza mapinduzi ya viwanda kwanza viwanda vya chakula kesha wamekuja viwanda vya magari,kuna makampuni yanayounda magari uarabuni from engine yani manufacturing sio assemblying hadi gari za umeme ukitaka majina ya hayo makampuni nakuletea.
Mwishi wameanzisha na uundaji wa silaha ambapo hii sekta bado hawajakomaa maana wanaunda tu simple munitions na makombora ya masafa mafupi.
Alokudanganya wanatumia mafuta peke yake na yanachimbwa na makampuni ya wazungu tu embu kamrejelee mkuu.

Yemeni inayo mafuta na pia ilikua ipo katika mchakato wa mapinduzi ya viwanda japo vita ya toka 1999 ambayo ilikuja kukolea na kuwa kubwa 2014 na ikakoma 2022 imewarudisha sana nyuma.
Lakini still GDP yao inalingana na TANZANIA taifa lililo na uhuru 60+ years na lisilo na vurugu yeyote na taifa lenye maliasili tele.
Somalia sio waarabu,ni zao la nilotes na cushites,nao CIVIL WAR inawamaliza.
Ila nenda SOMALILAND-HARGEISA upaone palivyoendelea na kupiga hatua,japo hiyo nchi bado mataifa mengine hayajapiga hatua kuitambua.
 
Lakini still GDP yao inalingana na TANZANIA taifa lililo na uhuru 60+ years na lisilo na vurugu yeyote na taifa lenye maliasili tele
Uache uongo ewe mwanadamu. Hebu weka hapa chanzo cha hii data unachodai Yemen GDP ni sawa na Tanzania.

Tanzania
GDP nominal ni $84Bil; per capital $1,326
GDP (PPP) ni $227Bil; per capital $3,595

Yemen
GDP nominal ni $21Bil; per capital $617
GDP (PPP) ni $69Bil; per capital $2,053

Chanzo

Unakuwa na mahaba hadi unaleta taqiyya kwenye mambo ya uchumi? Siyo poa.
Badilika
 
Tanzania na Yemeni zipo katika list ya poorest nations au hazipo!?
Nijibu hapo kwanza.
Na hapo ukae uelewe uliojumlishwa GDP yake ni upande wa Yemeni ambayo authority yake inatambulika kimataifa ule upande wa Houthi territory haujajumlishwa kabisa.
 
Unachekesha. We ni mzima kweli?
 
Back
Top Bottom