JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hapo watu wameenda kuuza sura tu, na kupata per diem, sasa mpo ishirini, wenzenu wanne,mnafanyaje mazungumzo?Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Yaani mkorea mmoja, mnamchsngia watu wanne? Doesn't work that way,
Kwanza wametudharau wanatuona kenge kabisa,
Kawaida kwenye majadiliano kama haya, idadi inakuwa, MTU kwa MTU, na mnakaa mkabala na ur counterpart!
Rais anakaa opposite rais mwenzie, wazir wa bisshara na mwenzie, wa Mambo ya nje, vilevile,
Sasa, Elizabeth Michael(convicted felony), alikuwa anaongea na nani?
Monalisa aliwekwa, na nani?
Bora angeenda Mond,akakutqna na produza wengine, may be!