Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hata hapa Kama mnawapa msaada mnaonekana mna matumizi mabaya ya pesa ambazo unakopeshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ratio ni 1:30 hao wakorea watatu ni kwaajili ya dharura tuKwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Huyo atakuwa anabubujikwa na machozi ya furaha.Lucas Mwashambwa imekuwaje aibu hiii tena kiongozi?mbona hatuwezi jipanga kama Taifa kwa mambo madogo madogo kama haya.
Akili kuvwa (,wakorea) inaongea na akili mfu (,watanzania) ili wauziwe bandari.Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Tanzania ni nchi ya kiqumer sana. Wakimaliza kuuza bahari watauza binadamu. Tujiandae kuuzwa utumwani.Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Umaskini ni kitu kibaya sana.Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Mkuu hii comment yako imenichekesga sana🤣😂🤣😂Hapo naona wasanii tupu,wanajadiliana namna ya kutengeneza movie ya kikorea colabo wabongo.
Ila sasa wakorea movie zao mapanga ni mengi sana wabongo wataweza kutumia mapanga kweli.
Ova
Hadi Wenyeji wanashangaa.......Wafrika tunapenda Starehe sana.Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6
- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Mkuu hili ni jumba la sinema za kikorea. Waje watujengee huu mjengo hapa Dar tuigizie.average iq ya Korea (kusini) > 90 vs tanzagiza ~70 isitoshe Korea hakuna uislamu yaani ni O waislamu ukiondoa baadhi ya wanafunzi ktk nchi za kiislamu lkn kuna Christians wengi tu, Korean Christian Church ni moja kati ya Makanisa makubwa Duniani …
Kanisani Korea (Kusini)
View attachment 3008047
Ulichojibu ni irrelevant kabisa na nilichouliza.
Hiyo per capita inapatikanaje pasi na kuwa na GDP kubwa!?
Pia tambua kuna GNI na GDP viko tofauti.
Nimalize tu mjadala,usipende kuleta udini katika masuala ya maendeleo.
Hahaha! Ila wabongo wana mineno sana aisee😂🤣😂🤣Yaan wamekula kila walichwekewa mpaka maji wamemalliza🤣🤣🤣 halafu wana angalia kwa makini ivyo vyakula ambavyo havijaliwa 🤭🤭 ila mbona kama mother hawajamuwekea chakula chochote 🤔
Mara hapo ndani kikatokea kitu toka Kwa kiduku vuuuuuu!Mama ashauriwe vizuri Hali ya usalama ya S Korea na North Korea ni tete. Kwa siku nyingi. Mkutano kama huu unaweza ukafanyika sehemu nyingine nzuri isiyo na vitisho vy usalama wake.
Unaweza kuthibitisha hilo!?Falsafa ya dini na maendeleo ni kulwa na doto, Uchumi wa Dunia ya leo wote chimbuko lake Christian (western), hauwezi kuendelea bila ya kufwata Christian ( western) philosophy …
Huyu mama ni hopeless kabisa. Sijawahi kuona rais kiazi kama huyu. Uswahili uswahili kwa kwenda mbele.Hiyo mbona ipo hata huku. Kwani Tundu Lissu mmoja ni sawa na kina Babu Tale million ngapi?
Shika adabu yako. Watu hapo wanajadiliana masuala nyeti ya uwekezaji kwenye bahari zetu wewe unaleta madihara? Humuoni Lulu hapo ambaye ameshawahi kuogelea Mara mbili na Ni mjuzi wa Mambo ya bahari. Acha utani wewe. Huyu wa mwanzo bonge kwenye maigizo hujawahi kumuona akila samaki? Yaani hapo Ni wataalam fulu.Tutegemee movie kali sana
Ova