Mbona unahama mzee?katika hizo nchi ulizozitaja hakuna iliyoendelea hapo isitoshe malaysia na indonesia uchumi wote umejengwa na kushikiliwa na chinese ambao siyo waislamu.
uturuki unajua ni kwa nini hata wanakataliwa kujiunga na EU pamoja na kujitahidi kote kuomba uanachama? isitoshe uturuki was once a prosperous Christian area kabla ya kuwa conquered na muslims, instanbul ilikuwa inaitwa Constantinople kabla ya waislamu kuconquer na kubadilisha kila kitu …
Unataka kusema Constantinople ilikua imeendelea vile kabla Turkiye hawajaichukua!?
Sisi tunazungumzia maendeleo yaliyoletwa na watu hatuzungumzii historia ya eneo.
Pia unaonekana mambo mengi hujui,nilikua nasubiri uropoke.
Malaysia na Indonesia ni INDO-CHINESE descendants.
Na hizo nchi zimeendelea zipo katika category ya Upper middle income country.
Zinaonesha revolution katika viwanda na katika SMR hapa ulimwenguni.
China hajazishikilia hizo nchi BALI AMEUNGA NAZO MUUNGANIKO WA KIBIASHARA AMBAO HATA TANZANIA MLIUUNDA KIPINDI CHA NYERERE.
Hivyo ushirikiano wa MALAYSIA/INDONESIA NA CHINA NI SAWA NA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA CHINA.
Turkiye ni taifa la Turkish descendants ambalo sasa hivi ethnically linaunganishwa na Persians.
Kusema suala la Instanbul ilitoka kuwa Constantinople ni hoja DHAIFU.
Maana ukitizama kuanzia Antalya,Anatolia,Karabayir,Ankara zote zilikua ndani ya Himaya ya Persia(IRAN),kabla ya Waturuki hawajaja na kuyatwaa maeneo kutoka Central Asia.
Ila hii Uturuki ina maendeleo mengi sana ya kushindana na Korea Kusini.
Pia hata kihistoria vifaa tiba unavyotibiwa navyo hospitali robo yake vimevumbuliwa na waturuki/wahajemi.
Tutoke huko twende BRUNEI DARUSALAAM,QATAR,UAE,BAHRAIN,KUWAIT,SAUDI ARABIA.
Haya mataifa yameendelea sana na takriban 80% waislam,je hili unalizungumziaje!???