Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Oh, kumbe. Na vp kuhusu kule kufirwa kwenu kama mlivyoruhusiwa na papa hakuchangii maendeleo yenu?!!! Haiwezekani mabasha wenu kuja na kuchangia mitani?!!!

Back to the topic, Uislamu haujaanza leo kutukanwa.....umetukanwa na kupingwa enzi na enzi tena na wenye akili na uwezo sio kama nyie panya wa JF msiokuwa na lolote lkn wote walishindwa. Nyie panda na jitihada zenu hamsumbui komwe hata sekunde.

Vp South Sudan kuha waislamu?!!!!
Aiseeeee!
Mkuu we mtu mzima bwana,na kama muislam basi uislam umehimiza busara na hekima katika uwasilishaji jambo.
MIMI NI MUISLAM ila sijapenda namna ulivyojibu.
UISLAM HAUPO HIVYO.
Umeuliza point yake nini mie nimejibu kulingana na uelewa wangu kuwa kakusudia nini.

Kuna point za kujibu kuliko kukashifiana dini,kitu ambacho uislam haupendi na hauruhusu.
 
Naomba nitoe ufafanuzi kidogo kutokana na ufahamu wangu juu ya hili. Hicho kilikuwa kikao cha directors wa Korea Kusini na wadau wa sanaa nchini kuanzia viongozi, waigizaji hadi watayarishaji wa maigizo na tamthilia .

Kwa msiofahamu hao ni directors wakubwa sana, hata kuwapata tu hao wanne ni bahati nasibu maana hao watu wana ratiba ngumu na hawapatikani kirahisi.

Naamini ya kwamba wadau hao wa sanaa kutoka nchini walipata nafasi hiyo kupitia kuwa ziarani na Rais, tofauti na hapo ingekuwa vigumu.

Msione soko la sanaa ya Korea limeteka dunia, hao watu mnaowaona hapo ni miongoni mwa walioiinua sanaa yao. Wasiwasi wangu ni matunda yatakayotakana na kikao hicho, wabongo tunajuana hatujawahi kuwa serious.

Mdakuzi
Ulikuepo?
 
Kwa mataifa yenye waislam wengi kama TURKIYE,INDONESIA,MALAYSIA ambayo nayo yameendelea unayazungmziaje!?

katika hizo nchi ulizozitaja hakuna iliyoendelea hapo isitoshe malaysia na indonesia uchumi wote umejengwa na kushikiliwa na chinese ambao siyo waislamu.

uturuki unajua ni kwa nini hata wanakataliwa kujiunga na EU pamoja na kujitahidi kote kuomba uanachama? isitoshe uturuki was once a prosperous Christian area kabla ya kuwa conquered na muslims, instanbul ilikuwa inaitwa Constantinople kabla ya waislamu kuconquer na kubadilisha kila kitu …
 
Christians ni >27% of the population, waislamu laki kwenye population ya > milioni 50 ni sawa na asilimia 0.% , karibia 30% ya Wakorea ni Christians (western) ndio maana kuna high IQ ambayo inahitajika kuleta maendeleo …
50% ----Hawana dini kabisa.
32%----Walokole na ndio wanashikilia uchumi wa Korea.
16 ---Budha
2%---Wapagani na dini zinazoamini miungu mingene.

ANGALIZO.
Kukosekana kwa dini fulani kumechangia kuwa na amani huko Korea kusini kulinganisha na kama hiyo dini ingekuwepo?
 
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.

Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.

Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!

Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.

Pia soma:

- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Magarasa ndo mengi including akina Lulu
 
Mange kimambi saiv akipanga maandamano yatakua na matokeo makubwa sana ata mimi na familia yangu natoka kuandamana
 
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.

Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana.

Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!

Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa.

Pia soma:

- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

- VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
umepima IQ ya kwako we nyegere
 
🤣🤣 bwana kwani hujui watu wa ukimani wana akili basi.
ila ninampenda sana mama samia natamani atawale miaka 20 mwenzenu. musinipopoe tu
 
Back
Top Bottom