😂😂😂😂Aiseeee!uturuki ina watu zaidi ya milioni 85 vs Korea Kusini milioni 52, hivyo uturuki ina watu milioni 30 zaidi ya Korea Kusini lkn bado imeachwa mbali sana na Korea Kusini kiuchumi, Korea Kusini ina uchumi mkubwa klk uturuki ingawaje ina 30 milioni less people …
Mkuu katika rank hao wapo kwenye rank moja ya uchumi.
Tulitarajia kwasababu Uturuki ni nchi ya waislam wengi basi ingekua masikini.
Ila iko katika rank moja na Korea ambapo Korea ya 14 na Uturuki ya 17.
Sasa nijibu hapo imekuaje!!??
Pia katika richest nations kuna Qatar na Brunei kwenye top list Korea haipo,je hilo unalizungumziaje??