Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Sa100: Nyie mnaakili sana,ndio maana Mna maendeleo makubwa
Mkorea: Hapana nyie Mna akili sana mmetuzidi Sana,
Sa100: masikhara,kivipi??
Mkorea; Sisi kati ya watu kumi,Smart Mmoja,wengine Tisa wote vilaza,
Sa100;Enhee na sisi je??
Mkorea; Nyie kati ya Kila watu kumi, Smart Tisa,kilaza Mmoja..
Sa100;Enhe Sasa Tatizo Nini??
Mkorea;Sisi huyo Mmoja Smart ndio anaongoza hao Tisa wengine,ila nyinyi Huyo Mjinga mmoja ndio anachaguliwa kuongoza hao Tisa Smart,huoni??I mean look at you ma'am,and CV za watu uliokuja nao...