Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi kwamba lazima wawe wengi wapambane na za Wakorea ambao inajulikana wana akili sana. View attachment 3008036
Sasa sielewi hapo wale wa majalalani wako wangapi na wasanii ni wangapi!
Mwenyezi Mungu atufabyie wepesi. Wakorea wanne tu wamejichukulia bahari yetu kiulaini kabisa
Alie piga picha ni mtanzaniaMods Watanzania wako 29. Naomba uchange title
Hao watakuwa ni diaspora sababu wengi ni vibinti vimenyoa kihunihuni tu.halafu mbona meza upande wa wakorea zote zina vinywaji wkt hamna watu hapo.kipotokali imekaaje?Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30...