Wakosoaji wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere washukiwa kama mwewe na kupewa onyo

Wakosoaji wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere washukiwa kama mwewe na kupewa onyo

Sina hakika kwa umri wako kama uliwahi kumwona Nyerere kwa macho yako enzi za Uhai wake!
Hata hivyo kama mngethamini sanamu yake isingevunjwa! Serikali ilitakiwa kuweka askari kila siku usiku kuilinda isivunjwe.
Lakini kwa sababu ni Lice wa Chama pendwa ndiyo unakuja kusema haya!
 
Kwa sababu hata yeye mwenyewe alikuwa hapendi manguo mapana sana
Si ndiye aliwaambia JKT wakimuona mtu yeyote kavaa suluali ya kubana kipimo kiwe chupa?
Ikikubali kupenya basi hiyo ruksa. Lakini ikikataa ichanmwe chini na usiivae tena.
Tanganyika ilikuwa mwendo wa suluali za kubana mapaja na pana chini.
 
Alisema wapi huko mlikokuwa mnapitisha hadi chupa kama kipimo😀😀
 
Alisema wapi huko mlikokuwa mnapitisha hadi chupa kama kipimo😀😀
Ndio maana tukisema wewe bado mdogo usikatae.
Waliovaa pekosi na waliokuwa wajanja wa mjini miaka ile wanajua.
Sio miaka hii kijana anavaa suluali kaacha tako nje watu wanaona kawaida.
Miaka ya Nyerere ilikuwa kakuna kuacha tako nje.
.
.
.
 
Nyerere nasikia aliwaambia watu wa Tbr miaka ya nyuma kuwa wanataka nini?
Wazee wakaomba sanamu lake
Sasa sijui lingewaletea maendeleo? Maana mpaka leo tabora ni kama kijiji tu
 
Back
Top Bottom