Wakosoaji wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere washukiwa kama mwewe na kupewa onyo

Wakosoaji wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere washukiwa kama mwewe na kupewa onyo

View attachment 3116031hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎View attachment 3116032
Wewe Lucas Mwasha-Mbwa, the headless chicken hebu linganisha hicho kinyago chako na hiki uone jinsi sisi watanzania tulivyo mazoba! Hiki ukimwangalia tu unajua kabisa ni nani, lakini hicho cha kwako mpaka ujiulize mara mbili mbili hivi namwangalia Lucas Mashamba au Mwashambwa?
1728147777033.png
 
View attachment 3116031hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎View attachment 3116032
Mimi ninaamini kwamba kuna jambo linatakakupotoshwa. Mwl Nyerere alifariki akiwa mzee. Kizazi hiki na wazee wa mwisho mwisho waliiona sura yake ya uzeeni kabla haja3nda St Thomas London. Sura hiyo ndiyo tunaotaka iwe kila sehemu hapa Tanganyika/ Tanzania. Huwezi kutuletea Nyerere akiwa Chekechea.
 
Tatizo aliepeea kazi yahiyo. Sanamu hamjui Nyerere...Mimi sikumwona ameshika bakora...!
 
Hivi tunashindwa kutengeneza Masanamu yenye uhalisia wakati Wamisri wa Kale walikuwa wakitengeneza miaka zaidi ya elfu nne iliyopita?!

Mbona Waafrika tunapiga rivasi.

Detail-face-Temple-of-Luxor-Colossus-Ramses.jpg

Sanamu la Ramases the Great angalia Lips angalia Jiwe lilivyochongwa miaka hiyo.
 
Back
Top Bottom