Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Wakristo 70 wamekutwa wamekatwa vichwa kanisani DRC

Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Isis = ISLAMIC STATE
Haikwepeki, huo ndio ukweli na wala hakuna chuki za kidini.
 
Hamas silaha zao zinajulikana most of them ni za kizamani sana ama ni home made hawana silaha yoyote ya kisasa hata kulipua Nyumba tu.

Anafanya biashara toka wapi? Unahisi kununua silaha ni child play? Zina gharama matrilioni ya hela, hao Is wanatoa wapi hayo Matrilioni ya hela, hapo hio Article wameonesha tu baadhi ya Silaha ni 2.8B usd zaidi ya Trilioni 6, kikundi cha waasi kinatoa wapi Trilioni 6.

Na kama Is wanatibiwa Israel, wanapewa Silaha na Marekani iweje uwanasibishe na waisilamu ambao kila siku wanauliwa na hao Is? Asilimia zaidi ya 90 ya watu Wanaouliwa na Is ni waisilamu.
Umeulizwa swali wale magaidi wa Kibiti na wale waliokuwa wanachapa viboko watu kwenye mfungo wa Ramadhan nao walikuwa funded na US na Israel ?
 
Swali kwanini wanaokubali kutumiwa na hao uliosema wengi au wote wanatumia jina la Mungu wa kwenye uislam?
Wengi ni ma Agent hasa kwenye top Position, wanakua ni MOSSAD, Cia etc ama watu wao ambao wame kuwa trained miaka na miaka. Anafuga tu ndevu kidogo kudanganya watu.

Vita mbalimbali duniani vime expose hawa jamaa, hasa hasa vita ya Ukraine, jiulize kama kweli hawa jamaa wa natetea Maslahi ya waisilamu vita vya Ukraine vinawahusu nini? Tuliona maelfu kwa Maelfu ya Isis wakienda kusaidia Ukraine, does that even make sense?

Mfano wa Isis/Al qaeda ambao wamekamatwa ama kugundulika ni Abu Hafsa aka Benjamin Efraim, Alikamatwa Libya kama Kamanda wa Isis ila baada ya kuhojiwa ikawa revealed ni Agent wa MOSSAD.
 
Unatumia nguvu nyingi sana kuutetea uislamu.
Shida ya dini yako ni kutaka kuwa na mamlaka ya kisiasa na si vinginevyo!Hao wa Isis,Boko harama, Kibiti na wengineo ndoto yao ni kuutawala ulimwengu kupitia uislamu.Watafanya kila hila ili azma yao itimie.
Hujajibu hoja matokeo yake unaonesha Chuki zako dhidi ya uisilamu, Member wa Congress Usa ambaye ni kama Mbunge anasema USaid inasaidia Boko Haram,

Hebu nipe mahusiano hapo baina ya waisilamu na Marekani na USaid
 
Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Kwanini wao wawe funded na Israel na USA na sio wapagani, Wahindu, Wakristo au Wabudha na wawaue dini nyingine? Umewahi kujitetea ila ni kweli ukiwa Muislam siasa kali kichwani na uwezo wa kufikiria unakuwa mdogo ndio maana wanatumika wao.

Ni ngumu kuutenganisha uislam na ugaidi mkuu hata kama umekuja mbio mbio kujitetea. Ushajiuliza duniani kuna dini ngapi na kwanini uislam na sio dini nyingine mkuu?
 
Kama mimi tu yaani hivyo vikundi wanshindwa kuvishughulikia kabisa.
Hivi huwa ni vikundi vya Watawala ndani ya Nchi husika. Huwekwa kwa malengo maalumu jinsi ya kudeal na wapinzani wao.

Inafika pointi mpinzani wakikushindwa wanaanza kukubandika majina ya Ugaidi, uhaini, islamic states n.k

Hali ikiwa mbaya zaidi wanaruhusu hivyo vikundi hata kuua watu hadharani kama hivyo makanisani na misikitini ili kukuza kitisho kwa watu wanaisadikiwa kuwa Hatari kwa Watawala.

Watawala wanaamini bora watu wachache wafe ili utawala wao upate utulivu.

Kwa akilk za Kawaida Kikosi cha wahuni wasiofika hata 1000 wanawezaje kuisumbua serikali nzima kwa miaka yoote? Yaani vikundi vya watu wanaoushi maporini kwa kujificha hawana chakula, maji, mafuta ya kusafiria magari na hawafiki masokoni kwa wakatu Nguvu ya kushindikana mbele ya Vikosi vya serikali vyenye weledi, mafunzo na zana za kila aina?
 
Kwanini wao wawe funded na Israel na USA na sio wapagani, Wahindu, Wakristo au Wabudha na wawaue dini nyingine?
Sababu ndio wanao fund na ushahidi upo nimeweka link?
Umewahi kujitetea ila ni kweli ukiwa Muislam siasa kali kichwani na uwezo wa kufikiria unakuwa mdogo ndio maana wanatumika wao.
Uisilamu una set of rules na hatutawaliwi na mihemko, ingekua uisilamu siasa kali kama mnavyojiaminisha dunia isingekalika hii
Ni ngumu kuutenganisha uislam na ugaidi mkuu hata kama umekuja mbio mbio kujitetea. Ushajiuliza duniani kuna dini ngapi na kwanini uislam na sio dini nyingine mkuu?
Hapo tu Uganda kuna kundi la kikristo limeua na kuua watu kibao, wapo wengine Afrika ya kati, Kuna Maynamar, India kuna Hinduvta mobs na makundi kibao, mamilioni ya watu wa wanauliwa na Kuwa misplaced, sababu hayasemwi kwenye mainstream media mara kwa mara haimaanishi hayapo.
 
Jibu swali.. acha kuzunguka..Kurani inahamasisha watu kuua wasio waislamu halafu we unasema hiyo ni enzi za vita, nakuuliza Ina maana hiyo aya haina mashiko tena?
Nimekujibu wewe unaonaje ,kama unataka kufundishwa sema usiwe mjinga wa kukurupuka ..

Sema nikufindishe jinsi ya kuelewa surah nzima na kusudio lake?
 
Sababu ndio wanao fund na ushahidi upo nimeweka link?

Uisilamu una set of rules na hatutawaliwi na mihemko, ingekua uisilamu siasa kali kama mnavyojiaminisha dunia isingekalika hii

Hapo tu Uganda kuna kundi la kikristo limeua na kuua watu kibao, wapo wengine Afrika ya kati, Kuna Maynamar, India kuna Hinduvta mobs na makundi kibao, mamilioni ya watu wa wanauliwa na Kuwa misplaced, sababu hayasemwi kwenye mainstream media mara kwa mara haimaanishi hayapo.
baba-mwajuma unatumia nguvu nyingi sana kuchota maji baharini na kuyamwaga nchi kavu.

Ni ngumu sana kuutetea uislam na ugaidi kama ilivyongumu kuutenganisha uislam na ugaidi 👋👋
 
baba-mwajuma unatumia nguvu nyingi sana kuchota maji baharini na kuyamwaga nchi kavu.

Ni ngumu sana kuutetea uislam na ugaidi kama ilivyongumu kuutenganisha uislam na ugaidi 👋👋
Sawa Ukishakua islamophobe pia Kichwa chako kinakua na tobo evidence ikiingia sikio hili inatoka sikio la kule, no amount of evidence itakuaminisha. Endelea kuamini unachoamini.
 
Nimekujibu wewe unaonaje ,kama unataka kufundishwa sema usiwe mjinga wa kukurupuka ..

Sema nikufindishe jinsi ya kuelewa surah nzima na kusudio lake?
Kwa hiyo ukiulizwa swali nawe unajibu kwa kuukiza 'unaonaje?' na kuita watu wajinga?
Huna ujualo. Ngoja niachane na wewe.
 
Back
Top Bottom