Isis = ISLAMIC STATENaona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Umeulizwa swali wale magaidi wa Kibiti na wale waliokuwa wanachapa viboko watu kwenye mfungo wa Ramadhan nao walikuwa funded na US na Israel ?Hamas silaha zao zinajulikana most of them ni za kizamani sana ama ni home made hawana silaha yoyote ya kisasa hata kulipua Nyumba tu.
Anafanya biashara toka wapi? Unahisi kununua silaha ni child play? Zina gharama matrilioni ya hela, hao Is wanatoa wapi hayo Matrilioni ya hela, hapo hio Article wameonesha tu baadhi ya Silaha ni 2.8B usd zaidi ya Trilioni 6, kikundi cha waasi kinatoa wapi Trilioni 6.
Na kama Is wanatibiwa Israel, wanapewa Silaha na Marekani iweje uwanasibishe na waisilamu ambao kila siku wanauliwa na hao Is? Asilimia zaidi ya 90 ya watu Wanaouliwa na Is ni waisilamu.
Wengi ni ma Agent hasa kwenye top Position, wanakua ni MOSSAD, Cia etc ama watu wao ambao wame kuwa trained miaka na miaka. Anafuga tu ndevu kidogo kudanganya watu.Swali kwanini wanaokubali kutumiwa na hao uliosema wengi au wote wanatumia jina la Mungu wa kwenye uislam?
Yes, hao ni affiliated na Al Qaeda.Umeulizwa swali wale magaidi wa Kibiti nao walikuwa funded na US na Israel ?
UN na FARDC ni scam.Ivi DRC napo kuna wanamgambo wa Islamic State kama Boko haram wa Nigeria π³π¬?
Huwa Najiuliza hawa waasi wanawashida vipi wanajeshi wa UN??
Mi nikianzisha kikundi leo nikakiita Makuluga kikaanza kuua watu, will that make you Gaidi?Suala ni kwamba wanajinadibisha na Uislam, na wanashanhiliwa na juungwa mkono na Waislam wengi,akiwemo Faiza!
Hujajibu hoja matokeo yake unaonesha Chuki zako dhidi ya uisilamu, Member wa Congress Usa ambaye ni kama Mbunge anasema USaid inasaidia Boko Haram,Unatumia nguvu nyingi sana kuutetea uislamu.
Shida ya dini yako ni kutaka kuwa na mamlaka ya kisiasa na si vinginevyo!Hao wa Isis,Boko harama, Kibiti na wengineo ndoto yao ni kuutawala ulimwengu kupitia uislamu.Watafanya kila hila ili azma yao itimie.
Kwanini wao wawe funded na Israel na USA na sio wapagani, Wahindu, Wakristo au Wabudha na wawaue dini nyingine? Umewahi kujitetea ila ni kweli ukiwa Muislam siasa kali kichwani na uwezo wa kufikiria unakuwa mdogo ndio maana wanatumika wao.Naona islamophobe wa JF mnapapatia pa kukimbilia. Isis has nothing to do with Islam, kuna Mamia ya articles na ushahidi kuonesha wapo Funded na Usa na Israel, kama unataka kuwalaumu walaumu hao wanaowapa silaha na hela badala ya kutoa chuki zenu kwa Dini.
Hivi huwa ni vikundi vya Watawala ndani ya Nchi husika. Huwekwa kwa malengo maalumu jinsi ya kudeal na wapinzani wao.Kama mimi tu yaani hivyo vikundi wanshindwa kuvishughulikia kabisa.
Sababu ndio wanao fund na ushahidi upo nimeweka link?Kwanini wao wawe funded na Israel na USA na sio wapagani, Wahindu, Wakristo au Wabudha na wawaue dini nyingine?
Uisilamu una set of rules na hatutawaliwi na mihemko, ingekua uisilamu siasa kali kama mnavyojiaminisha dunia isingekalika hiiUmewahi kujitetea ila ni kweli ukiwa Muislam siasa kali kichwani na uwezo wa kufikiria unakuwa mdogo ndio maana wanatumika wao.
Hapo tu Uganda kuna kundi la kikristo limeua na kuua watu kibao, wapo wengine Afrika ya kati, Kuna Maynamar, India kuna Hinduvta mobs na makundi kibao, mamilioni ya watu wa wanauliwa na Kuwa misplaced, sababu hayasemwi kwenye mainstream media mara kwa mara haimaanishi hayapo.Ni ngumu kuutenganisha uislam na ugaidi mkuu hata kama umekuja mbio mbio kujitetea. Ushajiuliza duniani kuna dini ngapi na kwanini uislam na sio dini nyingine mkuu?
Kwani we unaonaje ?Ilikuwa wakati wa vita ? So una maana hiyo aya imepitwa na wakati?
Jibu swali.. acha kuzunguka..Kurani inahamasisha watu kuua wasio waislamu halafu we unasema hiyo ni enzi za vita, nakuuliza Ina maana hiyo aya haina mashiko tena?Kwani we unaonaje ?
Nimekujibu wewe unaonaje ,kama unataka kufundishwa sema usiwe mjinga wa kukurupuka ..Jibu swali.. acha kuzunguka..Kurani inahamasisha watu kuua wasio waislamu halafu we unasema hiyo ni enzi za vita, nakuuliza Ina maana hiyo aya haina mashiko tena?
baba-mwajuma unatumia nguvu nyingi sana kuchota maji baharini na kuyamwaga nchi kavu.Sababu ndio wanao fund na ushahidi upo nimeweka link?
Uisilamu una set of rules na hatutawaliwi na mihemko, ingekua uisilamu siasa kali kama mnavyojiaminisha dunia isingekalika hii
Hapo tu Uganda kuna kundi la kikristo limeua na kuua watu kibao, wapo wengine Afrika ya kati, Kuna Maynamar, India kuna Hinduvta mobs na makundi kibao, mamilioni ya watu wa wanauliwa na Kuwa misplaced, sababu hayasemwi kwenye mainstream media mara kwa mara haimaanishi hayapo.
Sawa Ukishakua islamophobe pia Kichwa chako kinakua na tobo evidence ikiingia sikio hili inatoka sikio la kule, no amount of evidence itakuaminisha. Endelea kuamini unachoamini.baba-mwajuma unatumia nguvu nyingi sana kuchota maji baharini na kuyamwaga nchi kavu.
Ni ngumu sana kuutetea uislam na ugaidi kama ilivyongumu kuutenganisha uislam na ugaidi ππ
Haya msalimie mwajuma mkuu.Sawa Ukishakua islamophobe pia Kichwa chako kinakua na tobo evidence ikiingia sikio hili inatoka sikio la kule, no amount of evidence itakuaminisha. Endelea kuamini unachoamini.
Kwa hiyo ukiulizwa swali nawe unajibu kwa kuukiza 'unaonaje?' na kuita watu wajinga?Nimekujibu wewe unaonaje ,kama unataka kufundishwa sema usiwe mjinga wa kukurupuka ..
Sema nikufindishe jinsi ya kuelewa surah nzima na kusudio lake?