Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,423
- 9,296
Habari, nimetemgeneza app inaitwa Wakristo ndani yake ina biblia(SUV) tenzi za rohoni na Nyimbo za wokovu
Pamoja na features nyingi za kukurahisishia kazi, hii ni first version kwa ajili ya android pakua hapa
Nimerecord video kuhusu matumizi hii hapa
View: https://vt.tiktok.com/ZS4X3oW3J/
Nimeshindwa kuiweka hapa file is too large
Karibuni sana.
Please Mods msiupeleke huu uzi jukwaa la dini watu wanaoona kule ni wachache.

Hapana mkuu only info ninazotumwa kwenye server wakati wa kuangalia update ni package name ya app na app version, pia ukiangalia kwenye settings za simu option ya permission utaona app hairequest any information au permissionJe haiibi taarifa zetu binafsi?
Angalia hiyo videoPhoto attached
Nashukuru, sana sasa version 1.2.0 released kwa walioinstall update for stabilityWeka na Vitabu vya Apokrifa kwa ajili ya Wakatoliki na nyimbo zao, pamoja na nyimbo za Wasabato.
Hapana nilikuwa nawaza nitafute nyimbo youtube za tenzi then niweke link ili kama huijui unaclick play then inafungua youtube ya hiyo nyimboMkuu vipi kuhusu tenzi ziko pamoja na beat zake (tone) ?
Kuwa na amani no way taarifa zikaibwa sababu hatukusanyi hizo taarifa unapopata changamoto then nijulisheKazi nzuri mkuu, ila tusiibiwe taarifa zetu.
Haina shida nitaweka.Kazi nzuri sana
Kama nilivyokushauri nilivyokupigia
Weka na English version
Hata sijaelewa!!, mimi sio mkatolikiWakatoliki lzm watafutwe kivyovyote,
jumuiya ya masaki na oyster bay tukutane kesho mviringo baada ya ibada ya pili hapo DMP Azania front