Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika watu walidhikwa vipi? Kabla ya dini kuja Afrika?ukipata jibu namimi nijibu imeandikwa wapi tusafiri kwa kutumia magari na wakati punda wapo.
waarabu walizikwa pasipo ya jeneza kutokana na uhaba wa mbao uko jangwani kwao, ikawa ni kama sehem ya utamaduni wa mwarabu, mara imeingizwa ktk dini yetu pendwa ya kukopi na kupesti utamaduni wa mwarabu.
ukute ata kuvaa kobazi nayo ni sunnah
AiseeNaomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Una uhakika simu haipo kwenye maandiko? Dunia itakuwa kigajani ina maana gani? Kwamba kila kitu utakiona bila kificho."Kabla ya kutoa kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzio toa kwanza boriti iliyo ndani ya jicho lako"
Kabla ya kuanza kuhoji hilo ulilohoji je yale yaliyoandika kwenye kitabu cha dini unayoamini yote umeyatekeleza? Tukikuuliza mara ya mwisho umeenda lini kuwasaidia wajane na yatima hata haukumbuki!
Halafu ukitaka kila kitu anachofanya mwanadamu kiwe kwenye maandiko basi hata simu unayotumia saivi hutakiwi kuwanayo maana haipo kwenye maandiko.
Hata utende mema vip kama ufuati dini we motoni. Labda uwe ujaambiwa kuhusu mwongozoMwisho mtatukataza tusivae miwani kwa sababu haikuandikwa kwenye Bible 😁
Ndugu sangu msiendekeze sana kuzifafanua sheria kuliko kuenenda katika roho na kweli
Yesu alishawaambia imani bila matendo imekufa na matendo safi ni kuwa na upendo. Mpende Mungu wako kwa moyo na akili zako zote lakini mpende na jirani yako kama nafsi yako
Ukitimiza haya ni hatua kubwa kuliko kuwa obsessed na jeneza wakati kuna mamilioni ya watu wanakufa pasipo hata maziko duniani kwa sababu ya vita
Uzi ufungweMungu ametupa utashi sio kila jambo limeandikwa, maana yake ni kwamba tuzike kwenye jeneza au sanda tu haitamake any difference.
Sijui waafrika ni lini tutaamka. Tunawaza kupingana sisi kwa sisi, huku tukisahau kuwa asilimia 90 hatuwezi kuafford milo mitatu kwa sikuMwisho mtatukataza tusivae miwani kwa sababu haikuandikwa kwenye Bible 😁
Ndugu sangu msiendekeze sana kuzifafanua sheria kuliko kuenenda katika roho na kweli
Yesu alishawaambia imani bila matendo imekufa na matendo safi ni kuwa na upendo. Mpende Mungu wako kwa moyo na akili zako zote lakini mpende na jirani yako kama nafsi yako
Ukitimiza haya ni hatua kubwa kuliko kuwa obsessed na jeneza wakati kuna mamilioni ya watu wanakufa pasipo hata maziko duniani kwa sababu ya vita
Watu wanalogana...Sijui waafrika ni lini tutaamka. Tunawaza kupingana sisi kwa sisi, huku tukisahau kuwa asilimia 90 hatuwezi kuafford milo mitatu kwa siku
Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Endelea hivo hivo ..... sijui baba wakesho au Mama wa keshoSio kila Jambo la kuhoji,
Mambo mengine yaache Tu yakupite
Kwa akili zako finyu unajua mwongozo ni hizo sheria zenu... La hasha, Mwongozo ni Upendo(Mungu) aliyeko ndani ya roho yako.Hata utende mema vip kama ufuati dini we motoni. Labda uwe ujaambiwa kuhusu mwongozo
Kudhikwa ndo nini bossAfrika watu walidhikwa vipi? Kabla ya dini kuja Afrika?