Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

✅Mazishi.

✅Vyakula.

✅Mavazi.

✅Lugha.

Hayo ni mambo ya kitamaduni ambapo Mungu aliipa Kila jamii tofauti na jamii nyingine ili kuonyesha ukuu wake. Ni jambo la kitaahira Kuga tamaduni za watu wengine kuhusu mazishi, vyakula, lugha na Mavazi. Otherwise unataka kusema sii Mungu alituumba Bali aliwaumba wao na kuwapa kilicho CHEMA ambacho sisi tunatakiwa tuige kwao, unakuta jitu limeacha lugha ya mama lililopewa na Mungu ili liwesiliana na Mungu au yawasiliane wenyewe kwa wenyewe kwenye jamii Moja, jitu hilo linaenda kukariri lugha za mataifa mengine , Mavazi na vyakula si Mungu anakasirika na kuyatupa moto wa Milele?
 
Hata utende mema vip kama ufuati dini we motoni. Labda uwe ujaambiwa kuhusu mwongozo

Wewe unaijua akili au hukumu ya Mungu inavyofanya kazi ???....

Hivi ulivyosoma biblia toka kipindi cha ruthu, watu waliokuwa wakipendwa ni wale walokuwa na dini flani au wenye kumcha Mungu kwa imani na kimatendo yao..

Na usichanganye kuwa na imani na kuwa na dini.. Hivyo ni vitu vinaweza vikakaa au visikae pamoja kutokana na mtu
 
Sijui waafrika ni lini tutaamka. Tunawaza kupingana sisi kwa sisi, huku tukisahau kuwa asilimia 90 hatuwezi kuafford milo mitatu kwa siku
Dini imekuja kutugawanya kuliko kutuunganisha hadi sometimes unaweza kushangaa inawezekanaje mtu hata apate roho ya kuuza binadamu au muafrika mwenzake kwa sababu ya dini..

Na inaanza hivi hivi kwa kuwa extremist
 
Wewe unaijua akili au hukumu ya Mungu inavyofanya kazi ???....

Hivi ulivyosoma biblia toka kipindi cha ruthu, watu waliokuwa wakipendwa ni wale walokuwa na dini flani au wenye kumcha Mungu kwa imani na kimatendo yao..

Na usichanganye kuwa na imani na kuwa na dini.. Hivyo ni vitu vinaweza vikakaa au visikae pamoja kutokana na mtu
Naelewa sana wakati wa rutthu hapakuwa na ukristo au uislamu, japo uislamu kielimu ulikuwepo kabla ya mtume Mohammad, kulikuwa na Mwongozo. Dini ni jina tu
 
Kila kitu mnataka andiko, Hilo andiko liliandikwa na Nani
 
Naelewa sana wakati wa rutthu hapakuwa na ukristo au uislamu, japo uislamu kielimu ulikuwepo kabla ya mtume Mohammad, kulikuwa na Mwongozo. Dini ni jina tu

Misingi mingi ya dini imejengwa kwenye utu kwa hiyo hata kibinadamu ukizisoma amri za Mungu, nyingi zimekataza kufanya ubaya.

Hata katika dini za mababu zetu, haukukubalika wizi wala uzinifu kwa hiyo binadamu kama mfano wa Mungu ana uwezo wa kuyajua haya.. Ndio maana hata bila dini binadamu wa kawaida anaweza kuishi katika njia inayompendeza Mungu ila dini inaweka system na sheria ili kuwaongoza wote collectively pasipo mtu mmoja mmoja kufanya lile analoliona bora kwake na hivyo kuwa na jamii iliyo balanced..
 
ushawai kubadili dini kwa kuwa hiyo dini umeikuta na kuirithi?
 
Back
Top Bottom