Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace

Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu ninyandue?
 
Aliyeimba ni Ke au Me?
 
Mbona wameshaifungia hiyo nyimbo kwenye platform zote pale Kenya ikowemo kupiga marufuku kupigwa au kuimbwa sehemu yoyote Kenya.
 
Kwa akili yako fupi unataka warc wafanye nini zaidi ya kukaa kimya?

Ww unazani watu wote wameuona?
 
Ku-deal na huyo, ni kujitoa akili. Ni mdogo sana ukilinganisha na ukristo. Halafu wakristo tunafanyaga reasoning
 
Hao unao waambia na huyo msanihii wote ni makafiri tu ..dugu moyaaa
 
Wacheni magugu na ngano vikue pamoja
 
Wakenya wana nyimbo za ajabu
Kuna mwingine anaitwa Embarambamba naye the same.

Mungu wa Wakristo hajaturuhusu kumpigania. Si unakumbuka Yesu mwenyewe aliambiwa ajishushe msalabani na hakujitikisa hata. Yuko hivyo, hukumu iko huko mbeleni tusipotubu.
 
Sasa si ananyanduliwa yeye sisi tuseme nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…