Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,119
- 1,391
Amina mleta mada. Mimi ni mkiristo ninajitahidi niwe mwanga na chunvi. Mungu nisaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄🙄🙄Mkristo ni barua ni lazima asomeke vizuri, aandikwe kwa mwandiko mzuri.
Mkristo ni chumvi ya ulimwengu, lazima atie ladha dunia ili dunia iwe mahali pazuri na salama kwa kuishi binadamu, wanyama, samaki, mimea na mazingira kwa ujumla.
Mkristo ni chombo cha haki, tetea haki inapodhulumia, tetea wanyonge na wanaoonewa. Haki za mashoga sio haki, hamna haki ya kutenda dhambi. Ushoga ni kama tu uuaji.
Mkristo ni chombo cha amani, hakikisha kwamba wewe ni mlinzi wa amani, sio unakuwa ndio mkorofi, mgomvi, mtukanaji na kila tabia mbaya ni yako.
Mkristo ni Wakili/ Mwakilishi wa Yesu Kristo. Hapa duniani hujaja kuzubaa, hapa unekuja kumwakilisha Yesu Kristo. Kumhubiri Kristo siyo lazima ushike microphone 🎤, matendo yako yanahubiri zaidi kuliko sauti. Wasaidie wahitaji, tembelea wagonjwa, wafariji wafiwa, hudumia jamii yako kikamilifu, tunza mazingira, hakikisha uko unique mpaka kila mtu atamani kuwa kama wewe. Sio ikitokea ajali wewe ndio unaenda kuwanyonga marehemu ili uwaibie simu zao.
Ndugu zangu Wakristo je tunasomekaje? Au sisi ndio wachawi namba moja kwenye mitaa tunayoishi?
Au sisi ndio kina Kaka Jambazi wenyewe? Tunavunja, tunaua, na kufanya kila ubaya?
Mathayo 6:33
[33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
But seek ye first the kingdom of God, and his righteousness; and all these things shall be added unto you.
Msharika Mwenzangu wa Mbezi Beach Beachkwa Allen Mbiso mbona unatoa mijicho?
BarikiwaAmina mleta mada. Mimi ni mkiristo ninajitahidi niwe mwanga na chunvi. Mungu nisaidie.
Msharika Mwenzangu wa Mbezi Beach Beachkwa Allen Mbiso mbona unatoa mijicho?
Asante mkuu..kweli ni chumvi ya ulimwengu. Sisi tumekuwa wezi wa ulimwenguMkristo ni barua ni lazima asomeke vizuri, aandikwe kwa mwandiko mzuri.
Mkristo ni chumvi ya ulimwengu, lazima atie ladha dunia ili dunia iwe mahali pazuri na salama kwa kuishi binadamu, wanyama, samaki, mimea na mazingira kwa ujumla.
Mkristo ni chombo cha haki, tetea haki inapodhulumia, tetea wanyonge na wanaoonewa. Haki za mashoga sio haki, hamna haki ya kutenda dhambi. Ushoga ni kama tu uuaji.
Mkristo ni chombo cha amani, hakikisha kwamba wewe ni mlinzi wa amani, sio unakuwa ndio mkorofi, mgomvi, mtukanaji na kila tabia mbaya ni yako.
Mkristo ni Wakili/ Mwakilishi wa Yesu Kristo. Hapa duniani hujaja kuzubaa, hapa unekuja kumwakilisha Yesu Kristo. Kumhubiri Kristo siyo lazima ushike microphone 🎤, matendo yako yanahubiri zaidi kuliko sauti. Wasaidie wahitaji, tembelea wagonjwa, wafariji wafiwa, hudumia jamii yako kikamilifu, tunza mazingira, hakikisha uko unique mpaka kila mtu atamani kuwa kama wewe. Sio ikitokea ajali wewe ndio unaenda kuwanyonga marehemu ili uwaibie simu zao.
Ndugu zangu Wakristo je tunasomekaje? Au sisi ndio wachawi namba moja kwenye mitaa tunayoishi?
Au sisi ndio kina Kaka Jambazi wenyewe? Tunavunja, tunaua, na kufanya kila ubaya?
Mathayo 6:33
[33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
But seek ye first the kingdom of God, and his righteousness; and all these things shall be added unto you.
Leo umeamka na upako wa mahubiriMkristo ni barua ni lazima asomeke vizuri, aandikwe kwa mwandiko mzuri.

Mimi sifichi namna simpendi Huyu mama Benedict,,HE IS EVIL,,PAPA YOHANA aliepita hakupata mrithi na Huwa najiuliza Huyu kimeo alipataje hio nafasi?Juzi alikuwa na kikao cha dakika 45 na Mkurugenzi wa shirika la Jesuit wakiujadili ushoga. Tutege sikio tusikie mtikisiko mkubwa unaokuja
Shetani Hana mamlaka Tena anaendesha mambo yake kwa uzoefu,,Yesu alimnyang'anya ufunguo wa mauti na kuzimu(mamlaka) na akaketi mkono wa kuume kwenye kiti(Cha enzi)mamlaka nyengine kiutawala kwa hio ibilisi anategemea project ambazo alikuwa amezianzisha tu Hana jipya.Warumi 14: 7 “Kwa sababu hakuna mtu miongoni mwetu aishiye kwa nafsi yake, wala hakuna afaye kwa nafsi yake.
8 Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.
9 Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.”
Yesu Kristo pekee ndiye aliyepewa mamlaka yote ya vitu vya mbinguni na vya duniani..utasema mbona biblia inasema “shetani ndiye mungu wa ulimwengu huu”…Ndio! Shetani ni mungu wa ulimwengu huu, kwa ruksa maalumu..Amepewa mamlaka atawale kwa kitambo tu, na mamlaka hayo kapokea kutoka kwa Yesu Kristo, …lakini itafika wakati leseni yake itaisha muda..atafungwa kwa miaka 1000, kupisha utawala wa Amani wa Bwana wetu YESU KRISTO kufanya kazi hapa duniani, na baadaye atafunguliwa kidogo ili kutimiza kusudi fulani na kisha atatupwa katika lile ziwa la moto. Hivyo tunaposema anamaliki sasa ulimwengu haimaanishi anafanya lolote kwa kujiamulia hapana! Anayo mipaka akitaka kufanya jambo lazima apate kibali kutoka juu kama alivyokwenda kufanya kwa Ayubu..
Kwahiyo unaweza ukauona ukuu alionao Bwana wetu Yesu Kristo sasa…kwamba vitu vyote sasa vipo chini ya himaya yake..kakabidhiwa kila kitu, yaaani tunaposema kila kitu maana yake hakuna kilichosalia…hata wanyama wa porini, hata mimea, hata waovu, hata yule mbwa au paka, au bundi au yule fisi unayemwona kule porini, hata kuzimu na malaika wote…vyote kwasasa vipo chini yake (anavimiliki) ana uwezo wa kufanya chochote atakacho juu yao. Nimependa kulizungumza hili kwasababu wapo wachache ambao bado hawajapata Neema ya kulielewa hili kwa undani..yaani mamlaka Yesu Kristo aliyonayo sio ya kimlinganisha na kitu kingine chochote.
Alisema katika Mathayo 28: 18 “Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani”.
Lakini leo kwa Neema za Bwana..hatutaingia sana huko, bali tutajifunza juu ya MSHAHARA WA DHAMBI.
Siku moja nilikuwa napita mahali Fulani mahali walipokuwa wanauza mahindi karibu na mashine ya kusaga..sasa pembezoni mwa mtaro nikaona baadhi ya punje za mahindi zimeanguka na nyingine zilikuwa zimeshaanza kumea. Nikajiuliza kwa nini zile mbegu zimeota pale na wakati hakuna mtu aliyekusudia kuzipanda pale? Wakati natafakari hilo kitu kikaingia ndani mwangu na nijikuta ninasema…”hakika apandacho mtu ndicho atakachovuna kama watu wanavyosema”…haijalishi hiyo mbegu ilipandwa kwa makusudi au kwa bahati mbaya, kwa kujua au kwa kutokujua lakini mwisho wa siku kile kilichopandwa kitamea tu..
Wengi wetu tunafikiri mkulima ni Yule tu aliyetoka na mbegu zake nyumbani na kwenda kuzipanda shambani..lakini ni zaidi ya hapo, mkulima ni hata Yule aliyeangusha mbegu njiani pasipo yeye kujijua na ikamea…Naye pia anastahili kupata malipo ya kazi yake..Ni majibu ya Mungu kwa kile alichokipanda…hata kama alikuwa hajui..Mungu ameshamjibu! Ndio maana ile mbegu ikamea hata kama alikuwa hajui.
Hali Kadhalika na sisi katika maisha yetu..Yapo mambo mengi tunayapanda ambayo aidha kwa kujua au kwa kutokujua..hiyo haizuii chochote ni lazima yalete majibu. Ukipanda mbegu njema utavuna mema…na ukipanda mbegu mbaya utavuna hizo hizo..
Ukitenda dhambi kwa kutokujua kuwa umetenda dhambi au ukitenda dhambi kwa kujua…zote mbili zinaleta matokeo yanayofanana…na matokeo yenyewe ni mauti…kwasababu biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti. Ni sawa na mtu aliyepanda mbegu yake shambani na mwingine aliiangusha pasipo kujua mtaroni na kuendelea na shughuli zake…wote wawili mbegu zao zitamea tofauti ni kwamba mmoja atakuwa anaona na kufuatilia hatua za ukuaji, mwingine atakuwa haoni wala hafahamu kuwa alichokipanda kinaendelea kuota huko…lakini utakapofika msimu wa mavuno, mavuno yote yatakomaa kwa wakati mmoja.
Kama wewe ni mwasherati, na unajua kabisa uasherati ni dhambi, au ni mlevi, au mtazamaji pornography, au mwizi, au mlawiti, au mfanyaji masturbation, au msagaji, au mtoaji mimba, au msengenyaji..na unafanya hayo kwa makusudi kabisa..kuwa na uhakika kabisa mbegu hizo Mwisho wa siku mbegu hizo zitakuzalia mauti..
Halikadhalika kama mwingine ni mwizi, au muasherati, au mfanyaji masturbation, au mtukanaji au mlevi, na hana habari kuwa mambo hayo ni mabaya na ni dhambi mbele za Mungu..huyo naye ni sawa na mtu aliyeiangusha mbegu yake kwenye mtaroni kando ya barabara pasipo kujijua..ambapo itamea na wakati ukifika kazi yake itaonekana na watu wote hata kama yeye hajui..Hivyo na yeye pia mbegu zake zitamzalia MAUTI!! Atakufa katika roho na katika mwili.
Mfano leo hii ukienda kubaka mwanafunzi, serikali haitaki kujua kuwa ulikuwa unaifahamu sheria au la, hiyo si kazi yao…Kazi yao ni moja tu kukuhukumu kulingana na sheria inavyosema ,utakwenda gerezani miaka 30.
Jana nilikuwa na upako wa kukumiss, sema basi tu weee hauko rohoni kivileLeo umeamka na upako wa mahubiri
Dini gani iliyo angusha ndege? Hivi unajua JF na pombe za bei rahisi ni maadui wakubwa? Siku jifunge mkanda, nunua Moet, kinywa halafu njoo u comment. Utatema madini kichiziDINI YOYOTE NI UBATILI, WANAKUFA WATU 19 ILI MAJALIWA AINULIWE!!!
Mnaongea mambo magumuShetani Hana mamlaka Tena anaendesha mambo yake kwa uzoefu,,Yesu alimnyang'anya ufunguo wa mauti na kuzimu(mamlaka) na akaketi mkono wa kuume kwenye kiti(Cha enzi)mamlaka nyengine kiutawala kwa hio ibilisi anategemea project ambazo alikuwa amezianzisha tu Hana jipya.
Sawa mkuu, usinisahau kwenye sekta isiyo rasmi, sekta ya kuhesabu sadakaNilisha hama siku nyingi toka wakati wa Mch Muro.
Sasa hivi naanzisha kanisa langu.
Biashara nzuri hii!
Kelele, nyie mnaosema majaliwa kainuliwe baada ya ajali ya ndege mnamaanisha Nini?Dini gani iliyo angusha ndege? Hivi unajua JF na pombe za bei rahisi ni maadui wakubwa? Siku jifunge mkanda, nunua Moet, kinywa halafu njoo u comment. Utatema madini kichizi
Kwanini nakutafuta njia nyingine ya kumuinua majaliwa mpaka watu 19 wafe?Kelele, nyie mnaosema majaliwa kainuliwe baada ya ajali ya ndege mnamaanisha Nini?
Ya kawaida mkuu yanahitaji kufikiria tu.Hata kwa nchi ili raisi awe na mamlaka anatakiwa ashike nini na nini,,utaona sio Kila kitu ni vitu kadhaa TU ambavyo hawezi kuwa navyo mwengine yoyoteMnaongea mambo magumu
Hebu mwaga wino tupate madiniYa kawaida mkuu yanahitaji kufikiria tu.Hata kwa nchi ili raisi awe na mamlaka anatakiwa ashike nini na nini,,utaona sio Kila kitu ni vitu kadhaa TU ambavyo hawezi kuwa navyo mwengine yoyote
Ha ha ha!Kelele, nyie mnaosema majaliwa kainuliwe baada ya ajali ya ndege mnamaanisha Nini?
ficha ujinga wako basi unajidhalilisha,hilo povu lote ni kwakuwa nimekwambia uthibitishe unachokisema na umeshindwaWewe mshamba kabisa wewe ndo ujui kwamba uchumi wa vetecan unamilikiwa na pope au Air Italian share 70 ni za pope, pumbavu kibisa mnajificha uko vijijini amjui world economy