Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Hizo ni tamaduni mkuu, usisahau asili yakomkuu kwani wewe umezaliwa mwaka gani Hadi ukakuta wana vaa hivyo? nimezaliwa mwaka 1984 nabiba yangu alikua havai Kama wakwenye hizo picha zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni tamaduni mkuu, usisahau asili yakomkuu kwani wewe umezaliwa mwaka gani Hadi ukakuta wana vaa hivyo? nimezaliwa mwaka 1984 nabiba yangu alikua havai Kama wakwenye hizo picha zako.
lakini Sasa hivi hatuwezi kuvaa Kama watu wamiaka ya 1920 huko kushukaHizo ni tamaduni mkuu, usisahau asili yako
Kwa sababu zipi? Umesahau tamaduni baada ya kua westernized?lakini Sasa hivi hatuwezi kuvaa Kama watu wamiaka ya 1920 huko kushuka
Hakuna Mkristo lofa kama wewe, umejificha tu kwenye ngozi ya kondoo kwa nnje lakini ndani ni mmbwa mwituMimi ni mkristo nilieleta maada hii kulalamikia muenendo wa hali ya kimavazi.
Kuna tatizo ??
Hivi wazungu wasingekuja huku kwetu, ingekuwa tunavaa nini?
Zamani kabla ya huu tunaouita ni ystaarabu, walikuwa wakivaa nini? Na je mtoto alimtamani *****? Mwanamke hakuheshimiwa?Hapana,
Mwanamke akivaa nguo zinazomsitiri hata heshima tunampa,
Hata kama binti kaelimika kama anavaa vinguo vya ajabu ajabu wanaume wengi watamani tu kuchovya, wanahofia kwa uvaaji wao kila mtu atatamani kuchovya, akiolewa mara nyingi ni sababu ya mimba,
Mavazi ya kujisitiri ni mojawapo ya vigezo vikuu kwa wife material, kuna baadhi ya maungo inapendeza yaonekane ama yajichore kwa nguo iliyobana chumbani tu
Wewe ni yupi kati ya hao 🐈 watatu 🏃🏃
Hiyo ilikuwa zamani. Mazingira ya wakati ule siyo sawa na sasa!Zamani kabla ya huu tunaouita ni ystaarabu, walikuwa wakivaa nini? Na je mtoto alimtamani *****? Mwanamke hakuheshimiwa?
Hujajua unachokisema….kwa taarifa yako wanibalehe wengi wao hujifunzia huko kwenye wanyama! Na hizo ni tamaa na kushindwa kujicontrol hamna cha mganga/mzimu/jini au malaika hapo.Hao wengi ni matokeo ya masharti ya waganga ama ni matambiko ya mizimu michafu, kuitoa nafsi kafara, n.k.
Wapo hata wanaopewa masharti wabake vitoto vichanga.
hawa si watu wa kawaida, ulimwengu wao upo zaidi falme za mizimu
Mkuu, mwanamke Sio chombo cha starehe kwa mwanaume! Ukilifahamu hilo wala mambo ya mavazi ya wanawake hayatakusumbua!
Nachoona hapa udhaifu wako unataka kuwasingizia wanawake!
acha kusupport upumbafu!Hata wakivaa magunia kama wewe ni mtu wa tamaa utawatamani tu. By the way hizi story za sijui ukristo hivi, sijui ukristo vile zimezidi sana humu JF, by the way sisi tunaoufahamu na tuliofundishwa na kuuelewa ukristo hatubabaishwi na thread zenu za kung’ata na kupuliza!
Nategemea kuona thread yako ya kusema umeamua kuhamia upande wa pili soon!
Wanawake wanaovaa hivyo wanafaa kutumika tu..View attachment 2427340
Mavazi ya kusitiri hayana Dini, Iwe na ukristo ama Uislamu yamewekewa msisitizo lakini inaonekana wazi kabisa wakristo wanapuuza maandiko kwa kuendelea kuyapa thamani mavazi yasiyositiri.
View attachment 2427341
Mimi binafsi ni mkristo nashukuru navyozaliwa haya mambo ya utandawazi wa mavazi yalikuwa bado hayajaathiri wanawake wa kikristo, tangu nizaliwe sijawai kuona mama Yangu katoka nje kavaa suruali (vazi la mwanaume) inayomchresha mapaja, Makalio na hips .... SIJAWAI !!! Ni jambo la kujivunia kwakweli, Hebu vuta picha Mama yako anatok nje vazi limemchora mpododo, steki, mapaja, hips, n.k.
View attachment 2427343
Shida inakuja siku hizi, Suruali, vimini na magauni marefu anayobana yenye mpasuko yamekuwa kama vazi rasmi,, ni kawaida sana hata mtoto kujua ukubwa wa makalio ya mama yake, hips zake, mapaja, n.k. Hii ni aibu sana.
View attachment 2427344View attachment 2427345
Biblia ilishakataza kuvaa mavazi ya wanaume hizi suruali, kila mtu kapewa free will a kutaka kufanya atakacho lakini ni muhimu kuangalia impact, Binti kavaa jeans imembana imemchora kilakitu, Haya ni majaribu ya wazi wazi kwa wanaume walioumbwa kuyatamani maungo hayo, Na ndio maana hata mwanaume akigeuka ni vile alivyoumbwa luyatamani mango hayo.
View attachment 2427346
Biblia ilishaweka wazi wanawake waae mavazi yanayositiri lakini kinachoendelea ni kinyume, sketi zinazovaliwa zinaishia magotini kuyafanya mapaja yaonekane mwanamke akikaa. Kuna sketi hizi ndefu kama za harusini lakini zimembana sana mwanamke hazina tena heshima maana zinaachia hips wazi wazi bila kusitiri.
View attachment 2427347
si kwa mkristo, si kwa muislam, si kwa..Una uhakika na usemalo ndgu?
Unaongelea mavazi kwenye nyumba za ibada au mavazi nje ya nyumba za ibada!?
Maana huku nje ni wote tu uvaaji ni hovyo, haina dini hiyo. Kina zuhura(zuchu) si waislam wale mavazi yao yakoje??.
Na huu uzi unashambulia watu na sio ukristo, ukristo sio hao watu unaowataja. Ukianza kuhukumu imani ya watu kwa kuangalia matendo ya watu wachache unakua hujielewi.
Mavazi ni janga kwa wote tu hapa tz.
Na pia kama wewe ni mpenda ngono hata afiche vyote utatamani hata kucha tu.
Ukiona hadi umefikia hatua ya kumuwazia mama yako angevaa hivyo ungehisi vipi basi ukapimwe akili.
Mwanaume unaejitambua huwezi tamani damu yako(mama/dada au wale ndgu wa karibu).
Ukiona umefikia level hizo, ujue unashindwa kucontrol hisia zako na unaweza kumpanda yeyote.
Hivi Karne 21,Karne ya artificial intelligence Bado Kuna mbwiga anaamini huu upuuzi kuhusu mavazi na dini?kipindi Cha mtume mudi,alikuwa anasafiri kwa punda na farasi,sasa hv uarabuni wanasafiri kwa Ndege,magari wanakosea?View attachment 2427340
Mavazi ya kusitiri hayana Dini, Iwe na ukristo ama Uislamu yamewekewa msisitizo lakini inaonekana wazi kabisa wakristo wanapuuza maandiko kwa kuendelea kuyapa thamani mavazi yasiyositiri.
View attachment 2427341
Mimi binafsi ni mkristo nashukuru navyozaliwa haya mambo ya utandawazi wa mavazi yalikuwa bado hayajaathiri wanawake wa kikristo, tangu nizaliwe sijawai kuona mama Yangu katoka nje kavaa suruali (vazi la mwanaume) inayomchresha mapaja, Makalio na hips .... SIJAWAI !!! Ni jambo la kujivunia kwakweli, Hebu vuta picha Mama yako anatok nje vazi limemchora mpododo, steki, mapaja, hips, n.k.
View attachment 2427343
Shida inakuja siku hizi, Suruali, vimini na magauni marefu anayobana yenye mpasuko yamekuwa kama vazi rasmi,, ni kawaida sana hata mtoto kujua ukubwa wa makalio ya mama yake, hips zake, mapaja, n.k. Hii ni aibu sana.
View attachment 2427344View attachment 2427345
Biblia ilishakataza kuvaa mavazi ya wanaume hizi suruali, kila mtu kapewa free will a kutaka kufanya atakacho lakini ni muhimu kuangalia impact, Binti kavaa jeans imembana imemchora kilakitu, Haya ni majaribu ya wazi wazi kwa wanaume walioumbwa kuyatamani maungo hayo, Na ndio maana hata mwanaume akigeuka ni vile alivyoumbwa luyatamani mango hayo.
View attachment 2427346
Biblia ilishaweka wazi wanawake waae mavazi yanayositiri lakini kinachoendelea ni kinyume, sketi zinazovaliwa zinaishia magotini kuyafanya mapaja yaonekane mwanamke akikaa. Kuna sketi hizi ndefu kama za harusini lakini zimembana sana mwanamke hazina tena heshima maana zinaachia hips wazi wazi bila kusitiri.
View attachment 2427347
acha mbwembwe hovyo ni hovyo tuHivi Karne 21,Karne ya artificial intelligence Bado Kuna mbwiga anaamini huu upuuzi kuhusu mavazi na dini?kipindi Cha mtume mudi,alikuwa anasafiri kwa punda na farasi,sasa hv uarabuni wanasafiri kwa Ndege,magari wanakosea?
Nenda shule hata QT ufungue hicho kichwa,haya ndio madhara ya kwenda madrasa badala ya darasani
Wewe naye ni sawasawa na mleta mada. Utalaumu vitu sababu ya udhaifu wako.acha kusupport upumbafu!