Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

mkuu kwani wewe umezaliwa mwaka gani Hadi ukakuta wana vaa hivyo? nimezaliwa mwaka 1984 nabiba yangu alikua havai Kama wakwenye hizo picha zako.
Hizo ni tamaduni mkuu, usisahau asili yako
 
SEMA Mimi nachukulia mwanamke anayevaa mavazi ya ivyo nyumba za ibada most of the time anakuwa horny.....anapenda sex kupitiliza KWAIYO KUVAA ivyo ni apate attention watu wamtongoze especially wale wanaovaa vile vijidude shanga sio shanga cheni sio cheni unakuta kimemmbana shingoni kama mbwa jike anayetafuta mbwa dume
 
Zamani kabla ya huu tunaouita ni ystaarabu, walikuwa wakivaa nini? Na je mtoto alimtamani *****? Mwanamke hakuheshimiwa?
 
Hao wengi ni matokeo ya masharti ya waganga ama ni matambiko ya mizimu michafu, kuitoa nafsi kafara, n.k.

Wapo hata wanaopewa masharti wabake vitoto vichanga.

hawa si watu wa kawaida, ulimwengu wao upo zaidi falme za mizimu
Hujajua unachokisema….kwa taarifa yako wanibalehe wengi wao hujifunzia huko kwenye wanyama! Na hizo ni tamaa na kushindwa kujicontrol hamna cha mganga/mzimu/jini au malaika hapo.
Ushauri wangu mkuu, be responsible, kukiri udhaifu wako ni mwanzo wa tiba kamili na sahihi kwenye tatizo lako.
Wanawake ni binadamu kama wewe acha kuwa-undermine na kutumia mapungufu yako kuwalaumu wao!
Ni hilo tu mkuu!
 
Mkuu, mwanamke Sio chombo cha starehe kwa mwanaume! Ukilifahamu hilo wala mambo ya mavazi ya wanawake hayatakusumbua!
Nachoona hapa udhaifu wako unataka kuwasingizia wanawake!
acha kusupport upumbafu!
 
Wanawake wanaovaa hivyo wanafaa kutumika tu..
Kuolewa watasubiri mnoo🙄
 
mtoto wa kike anatoka amevaa chupi na sindiria, anaingia mtaani na wewe baba unaona huo ndio ujanja..
elimu sometimes imeongeza ujinga kwa kias flani
 
Una uhakika na usemalo ndgu?

Unaongelea mavazi kwenye nyumba za ibada au mavazi nje ya nyumba za ibada!?

Maana huku nje ni wote tu uvaaji ni hovyo, haina dini hiyo. Kina zuhura(zuchu) si waislam wale mavazi yao yakoje??.

Na huu uzi unashambulia watu na sio ukristo, ukristo sio hao watu unaowataja. Ukianza kuhukumu imani ya watu kwa kuangalia matendo ya watu wachache unakua hujielewi.

Mavazi ni janga kwa wote tu hapa tz.

Na pia kama wewe ni mpenda ngono hata afiche vyote utatamani hata kucha tu.

Ukiona hadi umefikia hatua ya kumuwazia mama yako angevaa hivyo ungehisi vipi basi ukapimwe akili.
Mwanaume unaejitambua huwezi tamani damu yako(mama/dada au wale ndgu wa karibu).
Ukiona umefikia level hizo, ujue unashindwa kucontrol hisia zako na unaweza kumpanda yeyote.
 
si kwa mkristo, si kwa muislam, si kwa..
Uvaaji wa hovyo unachochea tamaa, hata wewe wajua.
 
Hivi Karne 21,Karne ya artificial intelligence Bado Kuna mbwiga anaamini huu upuuzi kuhusu mavazi na dini?kipindi Cha mtume mudi,alikuwa anasafiri kwa punda na farasi,sasa hv uarabuni wanasafiri kwa Ndege,magari wanakosea?
Nenda shule hata QT ufungue hicho kichwa,haya ndio madhara ya kwenda madrasa badala ya darasani
 
acha mbwembwe hovyo ni hovyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…