Maneno ya Mwaitege, "NJOO UOMBEWE. UKIOMBEWA TATIZO LAKO NI DOGO HILOMkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
Hivi kwanini usitulie ukapambana na maisha yako na din yako wewe??!!eti unawashauri wakristo tangu lini🤣🤣😂😂 mbona husemi wale wanaobusu jiwe kule maka ungewashauri coz wanakufa kila leo kwa kukanyagana hebu tokaa hapa!!!
Yanatokea wapi haya?Hivi kwanini usitulie ukapambana na maisha yako na din yako wewe??!!eti unawashauri wakristo tangu lini🤣🤣😂😂 mbona husemi wale wanaobusu jiwe kule maka ungewashauri coz wanakufa kila leo kwa kukanyagana hebu tokaa hapa!!!
kaa chini nduguWatu wa humu sijui mna shida gani? Sasa wewe inakuhusi nini? Kama watapeliwa siuwaache
Kuombewa kwa kulipia na watu wanalaghaikaMkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
Upuuzi mtupuManeno ya Mwaitege, "NJOO UOMBEWE. UKIOMBEWA TATIZO LAKO NI DOGO HILO
Hayo ni mafanikio bandia hayatoki kwa Mungu. Miujiza hata wachawi wa Farao waliweza kufanya miujiza kama ya nabii Musa!!inshu mafanikio kama unaomba jiwe maka huyu anaomba rozali huyu ana omba mafuta na wote mnapata mafanikio basi hakuna tatizo ila mwampossa asante maisha yangu yananyooka kwa ajili ya ibada zako.
Ungesingeandika hayo maneno Mkristo wa kweli.Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
Kuombeana ni jambo la kibiblia lakini sasa kuna watu wameligeuza kuwa kitega uchumi na kichaka cha utapeli kwa hiyo limekosa maana yake halisiUngesingeandika hayo maneno Mkristo wa kweli.
Moja ya takwa la mkristo ni kuombea wengine. Hivyo sio jambo la ajabu kusali kwa ajili ya wengine.
Sasa hapo ndio kunahitajika umakini swala ambalo ni changamoto pia. Dunia hii watu ni wagonjwa na ugonjwa wa akili ndio unawasumbua wengi.Kuombeana ni jambo la kibiblia lakini sasa kuna watu wameligeuza kuwa kitega uchumi na kichaka cha utapeli kwa hiyo limekosa maana yake halisi