Maneno ya Mwaitege, "NJOO UOMBEWE. UKIOMBEWA TATIZO LAKO NI DOGO HILOMkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.