Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

Yaani unanidirect nikamsome salmaan rushdie like seriously? tuhuma zako ulizoleta nimekunukulia uhalisia wake, tizama maajabu kwenye maneno yako au english haipandi mkuu? hadithi uliyoileta mtume swala na salaam ziwe juu yake anakataza watu kuapa kwa miungu na masanamu ndo akatoa mwongozo mtu akisema: mathalan "ninaapa kwa lata na uzza!" basi anatakiwa kufuatishia kwa kusema laa ilaaha illa llah, maana ameshafanya ushirikina ijapokuwa ni mdogo, hiyo ni kafara yake.

Salmaan rushdie ni mtu mulhid, zandiki, hawa ni watu waliosoma uislamu ili kuuharibu uislamu kutokea ndani, wala hakuna hoja na hoja zipo katika kitabu cha allah, hakujifanyia allah mtoto, wala hapana muabudiwa pamoja na yeye, habari ya lata, uzza na manata nimeshakuwekea kwenye post uliyoquote.
 
Kwanini mmekipiga marufuku kitabu chake kama kimeandika uzushi.?

Mnaogopa nini kikisomwa na watu kwa hiari yao.?

Kwanini mmemhukumu kifo kama kaandika visa vya nje ya Dini?

Kwanini wahadhiri wote wa Dini yenu wameshindwa kuhojiana naye ili kuonesha udanganyifu wake ?

Kumbuka mala ya mwisho alipo taka kuelezea undani wa hicho kitabu, kwa kuwaalika ili mumkosoe alipokosea, kijana mmoja wa Dini yenu alimchoma kisu kwa nia ya kumwua akawahishwa Hospitali.

Mfuatilie Mhadhiri wa Kiislamu Dr. Shabir Ally, (mwenye ndevu nyingi Nyeupe) kwenye Youtube, Kuna siku Binti yake, ambaye ni Dr. pia, na mwandishi wa habari, alimhoji kuhusu SV, S.A alikiri kuwa kimeandika Ukweli na hakipingiki.
Mada ipo YouTube ifungue.

Soma kijana.
 
Ni kweli Uislam ni mfumo wa maisha uliopangwa na shetani kwa ajili ya Waarab, wafuasi wa Mohammed ambaye alishukiwa na shetani na kupewa Qur'an.
 
Na anapoongelea wakristo ajue kuna wa protestant na catholics. Na katika Protestants kuna Adventist na Pentecoste(Makanisa ya kiroho/walokole).

Kuhusu mavazi na mwonekano wakristo hawajaanza leo, wasabato kwa mfano hata logo tu wanazikataa kama Nike, Air Jordan, Kuongezea nywele bandia kwa wakina dada.

Kuuongelea ukristo na uchambuzi wake ni somo zito sana na inahitaji msaada wa watu wa theology most of the time.

Concept ya trinity unatakiwa uielewe kama ilivyo mtu akianza kuongeza logics zake basi ataona kuwa ni impossible.

Mungu mmoja,nafsi tatu...Baba Mwana na Roho Mtakatifu. Mwanadamu kapotea, nafsi mojawapo ya Mungu(Yesu,Mungu mwana) ikaridhia kuja kukomboa wanadamu, ikateremka na kuja kufanya ukombozi.

Ikawa kila anaekubali na kumfata Yeye(Yesu) na mafundisho yake basi ataurithi ufalme wa mbinguni.
 
Mbona papo Mungu anasema ...mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo ...tena sehemu nyingine anasema yeye ni mwema nk
 
"Mt 11:29 SUV
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu".

Huyu ni Mungu,aliuvaa mwili,akala chakula,akanya,akapata kiu etc.
Heh! Mungu alikunya tena jamaa, dah Astaghfirullah. Em acheni basi Mungu ni Most high, ametakasika Mungu, mbona mnamfananisha na vitu vya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…