Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

Kasome Satanic Verse, watoto wa Allah wamefafanuliwa vizuri sana na Rushdie.

Na Mtume alikuwa akiwaabudu kwa kuwasujudia pamoja na Binadamu na Majini.

Hiyo hoja haijakanushwa na Waislamu hadi hii leo.

Wakaamua wamchinje tu badala ya kujibu hoja.

Jiulize kwaninini kitabu hicho kimepigwa marufuku badala ya kukanusha hoja zake kwa kutabu kingine ?

Ishu mojawapo kuu ni kuhusu mtume kuwatambulisha watoto watatu wa kike wa Allah, ambao mtume aliamuru waabudiwe.

Ndio maana ikasemwa hiyo hoja ya kuwaabudu akina Uzza ni kati ya hoja ambazo mtume alikuwa akipokea wahayi toka kwa Shetani.

Baada ya watu kuanza kumpiga maswali kuhusu kuabudiwa Binti za Allah, ndio akastuka na kuanza kuandika hadithi za kukataza watu wasiwaabudu tena.

Sunan Ibn Majah 2096
It was narrated from Abu Hurairah that :
the Messenger of Allah (ﷺ) said: "Whoever takes an oath, and swears, saying: 'By Al-Lat and Al-Uzza,' let him say:'La ilaha illallah.' "

Ndio maana SV haikanushiki, kumbuka Rushdie ana PhD ya Islamic history.

Wewe unatakiwa kiusoma Dini yako zaidi na kuielewa.
Yaani unanidirect nikamsome salmaan rushdie like seriously? tuhuma zako ulizoleta nimekunukulia uhalisia wake, tizama maajabu kwenye maneno yako au english haipandi mkuu? hadithi uliyoileta mtume swala na salaam ziwe juu yake anakataza watu kuapa kwa miungu na masanamu ndo akatoa mwongozo mtu akisema: mathalan "ninaapa kwa lata na uzza!" basi anatakiwa kufuatishia kwa kusema laa ilaaha illa llah, maana ameshafanya ushirikina ijapokuwa ni mdogo, hiyo ni kafara yake.

Salmaan rushdie ni mtu mulhid, zandiki, hawa ni watu waliosoma uislamu ili kuuharibu uislamu kutokea ndani, wala hakuna hoja na hoja zipo katika kitabu cha allah, hakujifanyia allah mtoto, wala hapana muabudiwa pamoja na yeye, habari ya lata, uzza na manata nimeshakuwekea kwenye post uliyoquote.
 
Kwanini mmekipiga marufuku kitabu chake kama kimeandika uzushi.?

Mnaogopa nini kikisomwa na watu kwa hiari yao.?

Kwanini mmemhukumu kifo kama kaandika visa vya nje ya Dini?

Kwanini wahadhiri wote wa Dini yenu wameshindwa kuhojiana naye ili kuonesha udanganyifu wake ?

Kumbuka mala ya mwisho alipo taka kuelezea undani wa hicho kitabu, kwa kuwaalika ili mumkosoe alipokosea, kijana mmoja wa Dini yenu alimchoma kisu kwa nia ya kumwua akawahishwa Hospitali.

Mfuatilie Mhadhiri wa Kiislamu Dr. Shabir Ally, (mwenye ndevu nyingi Nyeupe) kwenye Youtube, Kuna siku Binti yake, ambaye ni Dr. pia, na mwandishi wa habari, alimhoji kuhusu SV, S.A alikiri kuwa kimeandika Ukweli na hakipingiki.
Mada ipo YouTube ifungue.

Soma kijana.
 
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo

Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika.

1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)

2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani" lakini Ukristo umekaa kiimani zaidi kuliko sayansi na sheria. Ndio maana waislamu husema hadi sayansi inaweza kuthibitisha kwamba Qur'aan Tukufu, lakini huwezi sikia wakristu wakisema Biblia inaweza kuthibitishwa kisayansi..

3. Wakristu hawana dini ila wana imani.

4. Waislamu wana dini lakini hawana imani.

Kwanini nasema wakristu hawana dini, ila waislamu ndio wana dini?

Dini ni mfumo wa maisha. Hakunaga mfumo wa maisha wa Kikristu. Ili uitwe mfumo lazima uwe unafanana kwa watu wote. Hili kwa wakristu halipo kwa sababu kila nchi kila dhehebu wana utaratibu wao wa maisha. Lakini waislamu utaratibu wao unafanana kuanzia China hadi Chile. Ukienda China adhana itasomwa vile vile na kwa muda ule ule kama itakavyo kuwa Chile. N.k.

Kwanini nasema wakristu wana imani lakini waislamu hawana imani?

Kitendo cha wakristu kuamini kwamba Mungu anaweza kuacha enzi yake huko mbinguni akaja duniani akaingia kwenye tumbo la kiumbe alie muumba yeye mwenyewe akakaa humo kwa miezi tisa akazaliwa kisha akaja kusulubiwa na watu wake alio waumba yeye mwenyewe, ni kiwango cha juu kabisa cha ki imani kwa Mungu kuwahi kutokea tangu kuumba kwa dunia.

Kwa kuamini kuhusu Yesu, wakristu wanasema kwa vitendo kwamba👇

Mungu anaweza kufanya kila kitu ikiwemo kuzaliwa kama mwanadamu.

Ama kwa habari ya kuamini kwamba Mungu( Yesu) alisulubiwa na wanadamu ambao kwa Msingi wa imani ya Kikristo ni viumbe wake mwenyewe, tafsiri yake ni kwamba wakristu wanaamini kwamba Mungu anaweza kuwa kitu chochote kile kwa namna yoyote ile. Yeye ndio kaumba unyenyekevu jambo ambalo maana yake ni kwamba yeye ndio mnyenyekevu namba moja. Yeye ni mnyenyekevu kuliko kitu chochote kile. So kitendo cha Mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu na kusulubiwa na wanadamu ambao kawaumba yeye mwenyewe kinathibitisha kwa vitendo unyenyekevu wa Mungu. Hakuna kiumbe wa kufanana na Mungu kwa namna yoyote ile. Na kwa habari ya unyenyekevu hakuna kiumbe anae weza kufanana na Mungu katika eneo hilo la unyenyekevu kwa sababu kiwango cha juu kabisa cha unyenyekevu ni pale Mungu alivyo shuka duniani yeye mwenyewe na kukaa ndani ya tumbo la kiumbe chake mwenyewe na kisha kusulubiwa na viumbe wake mwenyewe. Ndio maana Yesu mwenyewe alijisema kwamba yeye ni Mnyenyekevu wa moyo. Wakristu kuamini kuhusu mambo hayo hapo juu inathibitisha kwamba ni watu wenye imani ya hali ya juu sana.

Na waislamu wanapo kataa kuamini story ya Yesu kama ilivyo andikwa kwenye Biblia tafsiri yake ni kwamba wanasema

1. Mungu hawezi kufanya kila kitu.

2. Yapo mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya kabisa na mojawapo kati ya mambo ambayo Mungu hawezi kuyafanya ni pamoja na kuzaliwa kama mwanadamu na kuishi kama mwanadamu.na kuteswa na viumbe ambao amewaumba yeye mwenyewe . Jambo ambalo tafsiri yake ni kwamba waislamu hawana imani kwa Mungu. Hawaamini kama Mungu anaweza kuzaliwa kama mwanadamu wala kuvaa unyenyekevu na kuteswa na viumbe wake yeye mwenyewe. Wamemuwekea Mungu mipaka juu ya mambo ambayo anaweza kuyafanya na asio weza kuyafanya...

BACK TO THE POINT

Waislamu wanaongozwa na sheria na kanuni..

Muislamu mwenzao anapofanya hadharani jambo ambalo ni kinyume na sheria za kiislamu basi waislamu watamuhukumu mtu huyo hadharani accordingly. Kwa mfano mtu akionekana amevaa kanzu anaelekea msikitini ama anatoka msikitini huku akiwa amelewa pombe basi waislamu watampopoa mtu huyo hadharani kwamba kwanini anakwenda kwenye nyumba takatifu akiwa amelewa.

Ama kwa watu wasio kuwa waislamu ambao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uislamu basi waislamu wamekuwa wakiwashukia vikali pia.

VIPI KUHUSU WAKRISTU?

Wakristu wao huongozwa zaidi na imani kuliko sheria kama walivyo fundishwa na Yesu. Na kwa miaka mingi wamekuwa wakiyaishi maisha hayo. Hawamjudge mtu anae enda kinyume na mafundisho yao awe mkristu asiwe mkristu.

Kwa mfano: Stand Up comedian wengi wa Kikristo wamekuwa wakifanya utani kuhusu characters wa kwenye bible including Jesus himself.

Refer utani wa Tina Rogat kuhusu Yesu alioutoa kwenye video ambayo kwenye You Tube ipo titled " WANAUME WANAO TUMA NAULI" or something.

Angekuwa muislamu huyo halafu afanye utani kuhusu Mtume kwa namna hiyo sasa hivi angekuwa mkimbizi kama Salman Rushdie.

Huko Nigeria, stand up comedian wa Kikristo wanafikiaga hadi hatua ya kumuita Yesu " Jay" .

Wewe stand up comedian muislamu jaribu kumuita Prophet Muhammmad ( PBUH) just " Mudy" uone balaa lake.

Nowadays wakristu mmeanza kuwaiga waislamu. Na nyinyi eti mmeanza kuwa mna wajudge watu kwa mambo ya mwilini.

Mnamjudge Mtumishi wa Mungu Prophet Lovy kwa sababu ya mavazi yake.

Imani yenu imekwenda wapi enyi wakristu? Kama mnaamini kwamba Mungu aliweza kuja duniani na akazaliwa kama mwanadamu na akateswa na wanadamu ambao amewaumba yeye mwenyewe, ni kitu gani hicho kinacho wafanya mshindwe kuamini kwamba Mungu huyo huyo anaweza kumtumia Prophet Lovy ambae ninyi mna muhukumu utafikiri ninyi ndio Mungu.

Mmeanza lini kuhukumu watu? Yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu basi awe wa kwanza kumtupia jiwe mwanamke huyu.

Silaha kubwa mliyonayo wakristu ni maombi kama mnaamini Prophet Lovy hayupo mnavyo taka awe ninyi basi muombeeni awe mkamilifu kama nyie.
Ni kweli Uislam ni mfumo wa maisha uliopangwa na shetani kwa ajili ya Waarab, wafuasi wa Mohammed ambaye alishukiwa na shetani na kupewa Qur'an.
 
Dini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.

Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.

MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.

Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko

Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
Na anapoongelea wakristo ajue kuna wa protestant na catholics. Na katika Protestants kuna Adventist na Pentecoste(Makanisa ya kiroho/walokole).

Kuhusu mavazi na mwonekano wakristo hawajaanza leo, wasabato kwa mfano hata logo tu wanazikataa kama Nike, Air Jordan, Kuongezea nywele bandia kwa wakina dada.

Kuuongelea ukristo na uchambuzi wake ni somo zito sana na inahitaji msaada wa watu wa theology most of the time.

Concept ya trinity unatakiwa uielewe kama ilivyo mtu akianza kuongeza logics zake basi ataona kuwa ni impossible.

Mungu mmoja,nafsi tatu...Baba Mwana na Roho Mtakatifu. Mwanadamu kapotea, nafsi mojawapo ya Mungu(Yesu,Mungu mwana) ikaridhia kuja kukomboa wanadamu, ikateremka na kuja kufanya ukombozi.

Ikawa kila anaekubali na kumfata Yeye(Yesu) na mafundisho yake basi ataurithi ufalme wa mbinguni.
 
Dini sio mfumo wa maisha, Dini ni mfumo wa Imani ya kuabudu. Mfumo wa maisha unaletwa na Mila na Desturi zinazotoka kwenye Tamaduni. Ambapo mchanganyiko wa Tamaduni za Makabila, Dini na hali ya mazingira ya eneo mtu alilopo ndio upelekea kuibuka kwa mfumo wa maisha. Dini pekee sio mfumo wa maisha. Ndio maana kuna Waislamu wa madhehebu tofauti Shia, Sunni na wengine na kila hilo dhehebu lina mtindo wake wa kiimani japo wote ni waislamu, ila wanatofautiana. Sasa kama Uislamu ni Mfumo mmoja, mbona kuna madhehebu ya Shia, Sunni na wengineo.

Kabla ya kusema Wakristo hawana Dini, unatakiwa ujue Tafsiri ya neno Dini;
Dini ni mfumo wa imani na ibada unaoongoza maisha ya kiroho wa watu au jamii.
Kila mwenye Imani na Ibada basi huyo ana Dini. Haijalishi unaabudu nini, utofauti unakuja kwenye mitazamo. Mwingine haamini Jehanamu, mwingine anaamini kuna Jehanamu na kadharika. Hivyo uwezi kusema watu fulani hawana Dini kisa tu hawafanani na wewe kwenye kuabudu.

MUNGU MKUU (The Almighty) hawezi kuzaliwa wala kuzaa, yeye katuumba sisi. Aliyezaliwa ni YESU, ambae ni Mwana wa MUNGU, kila kiumbe kilichoumbwa kwa mfano wa MUNGU tunakiita mwana wa MUNGU. Sisi wote ni watoto wake MUNGU kwa sababu yeye ni BABA yetu kiuumbaji. MUNGU hayuko peke yake huko MBINGUNI, kuna viumbe wengine, nae YESU alikuwa katikati ya hao viumbe, na akatumwa na MUNGU (THE ALMIGHTY) kuja kututoa katika dhambi. Na akaja kwa njia ya kuzaliwa hili iwe rahisi kuketi miongoni mwa binadamu na kumuamini, ndio maana YESU ndio binadamu pekee aliyezaliwa bila ya kuwepo Baba binadamu, YESU alizaliwa kwa uwezo wa roho na si damu.

Wapi kwenye BIBLIA panaposema MUNGU ni mnyenyekevu, MUNGU anamnyeyekea nani? Yeye ndio Alpha na Omega, yani mwanzo na mwisho. Sasa amnyenyekee nani... Acha kuandika story za vijiweni, lete maandiko

Ukiwa unaleta mada za wakristo, hakikusha unaleta na nukuu za Biblia... Sio story za wakristo wasioelewa Dini
Mbona papo Mungu anasema ...mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo ...tena sehemu nyingine anasema yeye ni mwema nk
 
"Mt 11:29 SUV
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu".

Huyu ni Mungu,aliuvaa mwili,akala chakula,akanya,akapata kiu etc.
Heh! Mungu alikunya tena jamaa, dah Astaghfirullah. Em acheni basi Mungu ni Most high, ametakasika Mungu, mbona mnamfananisha na vitu vya hovyo.
 
Back
Top Bottom