Zanzibar 2020 Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

Zanzibar 2020 Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,415
Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar.
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...

Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?

Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!!

#YNWA
 
Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar..
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...

Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?

Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa nae anatimu...!!!

#YNWA

Huko udini 99% yaani kila ofisi pembeni inamsikiti lakini wanaongoza kwa Rushwa na u ammiii
 
Unauliza wakristo wanakosea wapi kwenye siasa Zanzibar mimi nauliza Wana CCM.wa dini zote wanakosea wapi Tanganyika kwenye Urais 2020?
 
Back
Top Bottom