Zanzibar 2020 Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

Zanzibar 2020 Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar..
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...

Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?

Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa nae anatimu...!!!

#YNWA
Umewezaje kujua dini zao hao watia nia?
 
Uislamu gani huo usiotenda haki???

Haki gani walionyimwa labda tuanzie hapo?

Mashule tumesoma nao, Ajira Serikalini wamo, huduma zote za kijamii wanapata mpaka maeneo ya kujenga Makanisa wanapata! Wewe ulitakaje?
Au ulishawahi kumuona Mkristo wa Zanzibar kulalamikia hayo niliyoyataja?

Anyway hapa hatuongelei Uislamu vs Ukristo, Bali tunaongelea Ukristo (Wageni) na Siasa Zanzibar.

Nilisema hapo kuwa sio kwamba Wanabaguliwa kwa Ukristo wao! Bali wanajiweka Neutral wenyewe kutokugombea kwasababu ya Ugeni wao (Kutokuwa Wazanzibari halisi).
Bali hapo watu wanatumia huo mwanya kuingiza Dini.

Na hiyo ndiyo point ya Wazanzibar kutaka Serikali 3,
1) Wazanzibari
2) Watanganyika
3) Ya Muungano itakayowaunganisha Wote.
 
Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar..
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...

Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?

Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa nae anatimu...!!!

#YNWA
Hii yako sasa ni mbinu mpya ya kuihujumu ccm zanzibar
 
Back
Top Bottom