Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Hawavumi ila wapo ova!Hakuna Mzanzibar mkristo, ukiona yupo basi anatokea Tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawavumi ila wapo ova!Hakuna Mzanzibar mkristo, ukiona yupo basi anatokea Tanganyika
Hata misikiti ililetwa na wageni kutoka mashariki ya katiYa Wageni na Wahamiaji kutoka Tz Bars, na ndiyomana wapo Neutral kwa siasa za Zanzibar huwezi kuwakuta wakijiingiza kwenye CCM wala upinzani (CUF/ACT).
Lakini Mzanzibari halisi ni 99.99℅ ni Waislamu.
WapoHakuna Mzanzibar mkristo, ukiona yupo basi anatokea Tanganyika
Hata misikiti ililetwa na wageni kutoka mashariki ya kati
islamic leader is the best for them trust meZanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar.
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...
Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?
Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!!
#YNWA