Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Nchi gani hiyo inayoongozwa kiislam?nchi yenyewe inaongozwa kiislamu na unawajua ndugu zetu hawa walivyo na hasira yanini utolewe kichwa chako ikanyanyuliwa juuu
Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar..
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...
Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi?
Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa nae anatimu...!!!
#YNWA
Zanziba is not a sovereighn stateNchi gani hiyo inayoongozwa kiislam?
Acha waongozwe tu ikiwa 99% Ni waislamu haina shidaIn zanzibar christians CAN'T BREATH!!!
Serikali ya Mapinduzi Inaongozwa kiislam
Ova
na wenyewe wala hawana tatizo na mtu kiroho safi kabisa na kura watawapa japo mnawaita makafiri!!!Acha waongozwe tu ikiwa 99% Ni waislamu haina shida