Zanzibar 2020 Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

Ya Wageni na Wahamiaji kutoka Tz Bars, na ndiyomana wapo Neutral kwa siasa za Zanzibar huwezi kuwakuta wakijiingiza kwenye CCM wala upinzani (CUF/ACT).

Lakini Mzanzibari halisi ni 99.99℅ ni Waislamu.
Hata misikiti ililetwa na wageni kutoka mashariki ya kati
 
Wakristo asili wapo...lakini asilimia ndogo mno... ndio maana wanateuliwa tu uwakulishi na vyeo vingine tena miaka hiii karibuni..

Waislamu kuongozwa na wakuitwa kafiri ni ngumu..hapo wataungana
wote ...kumkataa...

Labda tu awekwe kwa nguvu ya ..Tang...ka..kupitia chama kubwa!
 
Zanzibar ni nchi ya kiislam, hivyo mkristo yeyote atakayejitolea kuchukua fomu anapoteza muda wake tu.
 
Kuna wakristo wengine huko wana majina ya kiislamu.
 
Ili uwe rais wa Zanzibar lazima uwe mzanzibar, wakristo waliopo Zanzibar ni wahamiaji tu hawawezi kupewa dhamana kubwa ya Urais.
 
kion
islamic leader is the best for them trust me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…