Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Kwa hiyo huyo binti asingekuwa fundi nguo; ungetoa hicho kiasi?
 
Si tulikubaliana Mungu ni mmoja
 
Juzi nilikuwa kwenye "wedding reception" ya wanandoa wa kiislam. Bajeti ilikuwa zaidi ya 50M na maharusi waliweka na mabango ya picha zao katikati ya mji. Harusi ndogo au kubwa ni utashi wa mtu binafsi na sio dini.
Kuna tofauti kati ya ndoa na harusi, imefikia hatua watu wapo interested na harusi kuliko ndoa.

Mtu akiangalia kipindi cha chereko anataka aige kila kitu anachokiona au afanye zaidi.
 
Kuna tofauti kati ya ndoa na harusi, imefikia hatua watu wapo interested na harusi kuliko ndoa.

Mtu akiangalia kipindi cha chereko anataka aige kila kitu anachokiona au afanye zaidi.
Acha tu; ujikute unashinda kwenye page ya Gara B😁😁😁
 
Juzi nilikuwa kwenye "wedding reception" ya wanandoa wa kiislam. Bajeti ilikuwa zaidi ya 50M na maharusi waliweka na mabango ya picha zao katikati ya mji. Harusi ndogo au kubwa ni utashi wa mtu binafsi na sio dini.
Asante kwa kunirekebisha
 
Ukristo process kibao wakuu ......bado Binti na family watataka kuruka ukumbini [emoji4]..ukute mbususu yenyewe ilishachoshwa
 
Kuna uwezekano Waganda = Wakristo 😊
 
Mbona kuna harusi nyingi za kiislam zina gharama kubwa na mahari kubwa tu, suala hapo sio dini ni family inatakaje.
Umesema wamekutana chuo Uganda ndio uelewe tofauti ya mtu aliekuwa chuo na aliemaliza F4 ni tofauti. Wazee wengi wanasomesha kwa kutegemea return toka kwa watoto wao sasa anapoolewa anaona km anaenda kuwa na familia mpya hatakuwa wa upande wao tena ndio wanatoza mahari kubwa.
 
Mkuu mbona haujasema pia kasi ya kuachana/kutalikiana ndugu zetu nyie nayo si kidogo.

dada fulani aliwahi kuniambia "yaani jinsi ilivyo rahisi kuingia kwenye ndoa,.na kutoka ni hivyo hivyo"

aliniambia hvyo baada ya kushangaa (niliona karatasi yake aliyoandikiwa talaka)mume wake aliokota kipande cha karatasi tu hapo somewhere akamuandikia talaka, baada ya kuwa wamegombana.
akasema "sisi tunaolewa mahari ya sh 5000, sherehe ni chai na maandazi tu, na kwenye kuachwa hivyo hivyo "
 
Sijasoma stori yote.
Lakini nimeishia kitomaliza mahari.

Sikuwahi kujua sababu za kutomaliza mahari,,
Asante mkuu umenijuza.

"Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili."

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanajuta kwa sababu ya kutofautiana imani yao, mwanzo wanaweza wakaona haina shida ila ile mihemko ya mapenzi ikipungua na wameshakuwa na familia ndio shida inapoanziaga.
Suala la imani sio la kupuuza kabisa japo baadhi ya watu huona halina shida pasipo kufikiria gharama yake.
 
Ndio mana wanaamua kuishi tu na mwananke ndani mnazaliana nakuendelea na maisha. .mnaijaza dunia. .mnaishi pamoja lkn hakuna ndoa
 
Na kuachana ni cheap sana kwenye uislamu

Ukristo expensive na kuachana hakupo
Bora kuachana kuliko ile hakuna kuachana mpk kufa hatimae mnauana.

Mungu Alijua kama waja wake ni dhaifu watapokuwa hawana tena maelewano ni kheri kuachana.

Na mbona wapo wakristo wengi tu wametengana sana sana hawapeani hizo talaka tu. Lkn kila mtu anaishi na hamsini zake.

Naomba pia ujue talaka ni halali kwa waislam ila ni jambo linalomchukiza Mungu.

Na kuna taratibu zake mpk kuachana ila ndio ivo kila mtu anaupiga mwingi nowadays
 
Nikujibu Tu Kwa ufupi maadili ya kikristo ni kuwa Mali ni upagani hatupaswi kabisa kutoza na chanzo cha Mali au mahari ni pale mtoto wa Yakobo alivyo bikiriwa na waamoni na hii ni kwamba huyu Dina baada ya kutendewa hivyo ndugu zake Kaka zake wakaja juu lakini Yule aliyembikiri akasema yupo tayari kutoa Mahari.

Wakristo wakijikita kupokea zawadi tu toka Kwa muoaji anayoona yeye anawiwa kuileta ndoa nyingi sizingekuwa kwenye migogoro ya kiutumwa.

Mahari sio fundisho la wakristo mahari ni fundisho la kipagani lenye maana ya adhabu Kwa kumtomba binti kabla ya ndoa . Kwahiyo Kwa kitendo hicho unalipishwa. Lakini Kama hujamtomba hupaswi kilipishwa mahari Bali Wewe muoaji kutoa zawadi Kwa wazazi Ile uwezavyo
 
Mimi bado naziheshimu ndoa za waislam very cheap and nzuri na mwanamke kama amekulia kwenye dini hutakuja kujuta sema misimamo yao ya tofauti za didi otherwise i still opting to muslam ladies
Usidanganyike wazanzibar wanalia wanasema Bora waoe bara. Mali za kiislamu hazipo specific
Mfano mwanamke anataka
Kabati la nguo milango mitatu mninga bei yake hapo 900000 to million
Anataka kitanda sita Kwa sita mninga na godoro nch kumi hapo ni one million na nusu
Anataka dressing table hapo inaenda laki tatu mpaka NNE
Anaomba furniture za ndani Kama vile meza ,sofa nk
Kwahiyo vijana mkisema waislamu hawatozi mahari don't lie please
 
Ndoa za kiislamu unaolewa leo unatalikiwa Kesho? Au unavutiwa mke mwenza? Mwislam kuoa ni rahisi akishamzalisha basi anavuta mwingine.
Sema kwa nyakati hizi tulizonazo ni bahati sana kuona una bint harafu anaolewa kwa mahari! Kwa hiyo Mahari zipunguzwe kiasi.
Mwisho SIYO KILA ASIYE MUISLAMU NI MKRISTO! Bado hata wapagani wanatoza mahari kubwa.
 
Mbona mnamimbiliaga sana kwenye suala la je kama ni mzazi wako. Sasa kama mzazi nae alikuwa malaya kisa ni mzazi basi jambo haliwi baya tena? Tuache hivyo.
Pointi yangu hapo ni kwamba nyani asimcheke nyani mwanzake kwa maumbile ya kule nyuma.
Huwezi kuwa mweusi, mwembamba, mfupi, au sura mbaya ukamkataa mwanamke mwenye sifa kama hiyo kwanjia ya unyanyapaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…