Sasa kuachana si kawaida mapenzi yakiisha kuliko kusubiri kuuwanaNa waislam kuachana ni kufumba na kufumbua,usisahau hilo
taratibu za kufunga ndoa ya kikristu wa si ngumu,ugumu unawekwa na wana ndoa wenyeweasilimia 100% upande wa wakristo ndio umeleta ugumu sana maswala ya ndoa japo kutojitafakari.
Haya mambo yanapelekea wakristo wengi kushindwa kuoa au kuolewa.
kuanzia ghalama za mahali mpaka sheree.
na tunajikuta wengi wetu tukiishi unyumba hata ndoa kufanyika.
ukitaka kufahamu we nenda makanisani yani unakuta familia lakini baba na mama hawakufunga ndoa na ndo wanafunga ndoa
Wewe bado mtoto, hakuna kiongozi wa kanisa anahusika na swala la mahari, labda kwenye hizi NGO zenu mnazoziita kanisa na hata huko jambo la mahari ni la kifamilia.Niambie unaweza kutoa posa bila kiongozi wa kanisa kuhusishwa harafu wachungaji au viongozi wa kanisa wakakuelewa, acha masihara ndugu,
Kama ni hivo basi mvulana na msichana wangekuwa wanaelewana tu harafu wanaenda kwa mchungaji awafungishe ndoa basi
Jua tofauti Kati ya kubadili dini kuwa muislamu na kutunga ndoa ya kiislamu, ni vitu viwili tofauti.
Jamaa anataka mke wa kumuangalizia watoto wake.
Niambie unaweza kutoa posa bila kiongozi wa kanisa kuhusishwa harafu wachungaji au viongozi wa kanisa wakakuelewa, acha masihara ndugu,
Kama ni hivo basi mvulana na msichana wangekuwa wanaelewana tu harafu wanaenda kwa mchungaji awafungishe ndoa basi
Kwani kusilimu sh ngapi mkuu? Kusilimu sio sawa na kutafuta cheti cha kuzaliwa. Kusilimu ni dakika sifuri tu.Kama ni hivi basi hiyo sio ndoa ya kiislam hamnaga ndo katika imani yeyote ile baina ya dini mbili tofauti isipokuwa hizo wanazoziita za kiserikali au za kimila
Lakini kwa ndoa za kidini ni lazima wote wawe wa dini moja...wanaweza wakawa wa madhehebu tofauti ila dini lazima iwe moja... Kama ni ya kidini wote lazima wawe waislam ndio huyo sheikh afungishe ndoa au wawe wakristo ndio huyo mchungaji(padre) afungishe hiyo ndoa
Hiyo yakusema kuwa jamaa alifunga ndoa ya kiislam hali yakuwa hakubadili dini hapo unatutoa akili sisi au unawatoa akili hao mashekh au umejitoa akili wewe mwenyewe....hamnaga ndoa ya kiislam baina ya muislam na asiyekuwa muislam au ndoa ya kikristo na baina ya mkristo na asiyekuwa mkristo vinginevyo sema hao watu wamepeana mwanamke na sio eti kumefungwa ndoa hakuna kitu Kama iko abadan! Vinginevyo awe amedanganya kuwa ni muislam na Kama kafanya hivyo hapo bado hamna ndoa bali wamepeana wanawake tu hao
Me nasemea za uswahilini kwetuKuna arusi za kiislam zishafanyika kubwa sana za wakiristo zinasubiri.
Arusi hufanyika hata siku saba
Singo, bomu, lunch, akdi, reception, chai, na siku ya kupeleka begi pia huwa kuna ngoma
Na mahari yao ndio usiseme, kuna mabint wametolewa mahari mpk 10M na utaskia kazawadiwa na seti ya dhahabu.
Inategemea family na family tu
Hapa. Umetumia akili zako zote kabsa au ni nakedNa kuachana ni cheap sana kwenye uislamu
Ukristo expensive na kuachana hakupo
UpumbavuHuwezi lipa mahari uwezo huna usioe nenda kawe padri wa katoliki
Lofa hatakiwi kuoa atasumbua watu na mke kwa ulofa wake
Kipimo cha kuonyesha mwanaume.yuko fit sio tu ule mkuki wake ulioko ndani katikati ya suruali yake ndani ni uwezo wa kulipa mahari
Hata kuku mmoja ni mahariSio kila kitu kiko ndani ya Biblia kingine ni mapokeo mazuri ya kijamii ya karne na karne mahari ikiwemo
Mahari inaweza kua hata kukuMajambazi malofa ndio maana hupora .Majambazi ni majitu ambayo hupora hata watoto wa watu na kuwaweka ndani bila kulipa mahari na kuishi nao kama mke na mume sababu malofa
Ukiona jitu hakitaki kulipa mahari jua hilo jambazi lofa linaloenda vya kupora
Hizo mbwembwe tu hata kuku anaweza kua mahari tu chamuhimu ndoa iwe bora tuThamani ya mwanamke haipimwi kwa idadi ya watoto aliozaa.Mtoto wa kike wa bakhresa hata awe na watoto Kumi.akitaka kuolewa huwezi skatolewa kwa bei ya kutupwa
Thamani yake inakuwa determined pia na familia anayotokea
Kusema akizaa eti kidume chochote kikitokea sawa tu nyooo.Hakuna kwanza kama unajiona kina thamani kubwa si kiende kikaoe wasichana wasio na watoto
Kuoza mtu kuna hadhi sio kila bwege anaozeshwa
Labda huko kwenu,kuku wanakuwekea pesa tasilimu hapo ndio ujue mke ni bidhaa kama bidha ingineMahari inaweza kua hata kuku