Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

asilimia 100% upande wa wakristo ndio umeleta ugumu sana maswala ya ndoa japo kutojitafakari.

Haya mambo yanapelekea wakristo wengi kushindwa kuoa au kuolewa.

kuanzia ghalama za mahali mpaka sheree.

na tunajikuta wengi wetu tukiishi unyumba hata ndoa kufanyika.

ukitaka kufahamu we nenda makanisani yani unakuta familia lakini baba na mama hawakufunga ndoa na ndo wanafunga ndoa
taratibu za kufunga ndoa ya kikristu wa si ngumu,ugumu unawekwa na wana ndoa wenyewe
 
Niambie unaweza kutoa posa bila kiongozi wa kanisa kuhusishwa harafu wachungaji au viongozi wa kanisa wakakuelewa, acha masihara ndugu,
Kama ni hivo basi mvulana na msichana wangekuwa wanaelewana tu harafu wanaenda kwa mchungaji awafungishe ndoa basi
Wewe bado mtoto, hakuna kiongozi wa kanisa anahusika na swala la mahari, labda kwenye hizi NGO zenu mnazoziita kanisa na hata huko jambo la mahari ni la kifamilia.
 
Jua tofauti Kati ya kubadili dini kuwa muislamu na kutunga ndoa ya kiislamu, ni vitu viwili tofauti.

Jamaa anataka mke wa kumuangalizia watoto wake.

Kaoa mtoto wa form 4 ili amuangalizie watoto wake watatu!

Mtoto analea watoto. Huu ni ubakaji. But to each their own.
 
Nadaiwa 2m na wazazi wa kikristo mpaka Leo sijalipa hata mia na mtoto wao nimeshaa naye naishi naye pika pakua wazazi wake wamekaza hawakanyagi kwangu na mie siendi kwao mpaka ntapolipa izo m2
 
Walokole mna mambo mengi sio kila mkristo anafata hatua zenu. kiongozi wa kanisa hana mamlaka ya kukupangia masuala ya posa,Mchungaji kazi yake kufungiaha ndoa tu.Haya ya posa mahari hayawahusu
Niambie unaweza kutoa posa bila kiongozi wa kanisa kuhusishwa harafu wachungaji au viongozi wa kanisa wakakuelewa, acha masihara ndugu,
Kama ni hivo basi mvulana na msichana wangekuwa wanaelewana tu harafu wanaenda kwa mchungaji awafungishe ndoa basi
 
Kama ni hivi basi hiyo sio ndoa ya kiislam hamnaga ndo katika imani yeyote ile baina ya dini mbili tofauti isipokuwa hizo wanazoziita za kiserikali au za kimila

Lakini kwa ndoa za kidini ni lazima wote wawe wa dini moja...wanaweza wakawa wa madhehebu tofauti ila dini lazima iwe moja... Kama ni ya kidini wote lazima wawe waislam ndio huyo sheikh afungishe ndoa au wawe wakristo ndio huyo mchungaji(padre) afungishe hiyo ndoa

Hiyo yakusema kuwa jamaa alifunga ndoa ya kiislam hali yakuwa hakubadili dini hapo unatutoa akili sisi au unawatoa akili hao mashekh au umejitoa akili wewe mwenyewe....hamnaga ndoa ya kiislam baina ya muislam na asiyekuwa muislam au ndoa ya kikristo na baina ya mkristo na asiyekuwa mkristo vinginevyo sema hao watu wamepeana mwanamke na sio eti kumefungwa ndoa hakuna kitu Kama iko abadan! Vinginevyo awe amedanganya kuwa ni muislam na Kama kafanya hivyo hapo bado hamna ndoa bali wamepeana wanawake tu hao
Kwani kusilimu sh ngapi mkuu? Kusilimu sio sawa na kutafuta cheti cha kuzaliwa. Kusilimu ni dakika sifuri tu.
 
Kuna arusi za kiislam zishafanyika kubwa sana za wakiristo zinasubiri.

Arusi hufanyika hata siku saba
Singo, bomu, lunch, akdi, reception, chai, na siku ya kupeleka begi pia huwa kuna ngoma
Na mahari yao ndio usiseme, kuna mabint wametolewa mahari mpk 10M na utaskia kazawadiwa na seti ya dhahabu.
Inategemea family na family tu
Me nasemea za uswahilini kwetu
 
Ndoa zinazoongoza kuachika ni ukristo why zile Mali kubwa zinauma pale unapokumbuka hata ulikopa bank halafu mwanamke analeta jeuri

NB: mabinti wa kiislamu wanabusara sana kuliko hawa wa kikristo wanajiona ni watawala ndani ya nyumba zetu ...
 
Kuna siku tulikuwa tunaozesha
Mshenga akasema hawana koti LA mjomba, basi mjomba kusikia hivyo kakomaa lazima apate koti nikaamua kama kaka nikampa mjomba koti mambo yakaendelea ........koti LA mjomba linanunuliwa ufaransa hatari sana...
 
Wanawake wetu wa kikristo


Dodoma. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeshtushwa na kasi ya kuvunjika kwa ndoa nchini chanzo kikubwa kikiwa ni kumomonyoka kwa maadili huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ndoa ni zaidi ya 300 zikivunjika kwa mwezi
 
Wht I know kanisa nililokua nasali mahari sio kigezo cha ndoa...

Halafu ratio ya wanawake wasioolewa kwa wakristo na waislam naona kama ipo sawa tu japo waswaha wanaoa hata 4 wives. Kuoa ni too general term! Kila mtu ale majani yaliyo jirani yake...
 
Wanawake wetu wa kikristo


Dodoma. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeshtushwa na kasi ya kuvunjika kwa ndoa nchini chanzo kikubwa kikiwa ni kumomonyoka kwa maadili huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ndoa ni zaidi ya 300 zikivunjika kwa mwezi
Ndio ndoa za vodafasta hizi
 
Huwezi lipa mahari uwezo huna usioe nenda kawe padri wa katoliki

Lofa hatakiwi kuoa atasumbua watu na mke kwa ulofa wake

Kipimo cha kuonyesha mwanaume.yuko fit sio tu ule mkuki wake ulioko ndani katikati ya suruali yake ndani ni uwezo wa kulipa mahari
Upumbavu
 
Majambazi malofa ndio maana hupora .Majambazi ni majitu ambayo hupora hata watoto wa watu na kuwaweka ndani bila kulipa mahari na kuishi nao kama mke na mume sababu malofa

Ukiona jitu hakitaki kulipa mahari jua hilo jambazi lofa linaloenda vya kupora
Mahari inaweza kua hata kuku
 
Thamani ya mwanamke haipimwi kwa idadi ya watoto aliozaa.Mtoto wa kike wa bakhresa hata awe na watoto Kumi.akitaka kuolewa huwezi skatolewa kwa bei ya kutupwa

Thamani yake inakuwa determined pia na familia anayotokea

Kusema akizaa eti kidume chochote kikitokea sawa tu nyooo.Hakuna kwanza kama unajiona kina thamani kubwa si kiende kikaoe wasichana wasio na watoto

Kuoza mtu kuna hadhi sio kila bwege anaozeshwa
Hizo mbwembwe tu hata kuku anaweza kua mahari tu chamuhimu ndoa iwe bora tu
 
Back
Top Bottom