Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Vijana wa siku hizi mnapenda kudeka sana yaani mahari ya milioni 3 unakuja kuanzisha uzi huku JF serious??
Wenzenu zamani unatoa ng'ombe kadhaa na unakaa ukweni hata mwaka mzima ukiwasaidia kazi zote ikiwemo kulima mashamba na kuchunga mifugo bila malipo yeyote.
Ushauri wangu kama huna hata pesa ya mahari nunua sex toys upunguze nyege zako.
Ndio maana vijana wengi ni Marioo (wanapenda kulelewa tu) kwa kuwa hata wake zao wamepewa bure.
Vijana kazeni matako kila kitu kinapatikana kwa jasho.
 
Nimekuuliza, ninakuuliza tena ulitaka kukuta kiwango cha mahari ndani ya biblia?.

Ukikonvet Denali mia 4 ya kipindi cha yesu kuja kwenye shiling, yuan, USd, Rand etc unapata kiasi gani?
Madini yaliyokuwa ysnatengeneza dinari moja thamani yake kwa leo ni dola sita hivyo.dola moja kwa hela za tanzani ni shilingi 2200 bei ya chini.Kwa dola sita ni sawa na shilingi za Tanzania 132 000.Kwa hiyo dinari moja kwa pesa za Tanzania ni shilingi 132,000

Sasa huyo.aliyelipa mahari dinari 400 chukua shilingi za Tanzania 132,000 zidisha kwa dinari 400 utapata jibu kuwa huyo aliyelipa mahari alilipa mahari shilingi 52,800,000

Vidume mnaopenda dezo mpooo???
 
Niambie unaweza kutoa posa bila kiongozi wa kanisa kuhusishwa harafu wachungaji au viongozi wa kanisa wakakuelewa, acha masihara ndugu,
Kama ni hivo basi mvulana na msichana wangekuwa wanaelewana tu harafu wanaenda kwa mchungaji awafungishe ndoa basi
Hizo.sio kazi za mchungaji
Yeye kazi yake kuwasubiri kanisani na kumaliza kama hakuna pingamizi likiwa halipo anafunga
 
Umejibu hoja kwa pointi nzito za uhakika zizosheheni weledi mkubwa uliotukuka wa great thinker
 
Kwamba jamaa yako kabadilishwa dini na mbususu tena ya form four aiseee na unakuja kujisifia hapa. Si angebadili tu tangu mwanzo kuliko kutaka kujibebesha mganda asiyemuweza.
Aise nmecheka sana ...anajisifiiiiia mwenyew ...lkn possibly hakuwq amedhamiria kumuoa mganda ila alitaka mlezi na muangalizi wa wanae ..umechuja na kuona ni wife material utamuachia hivi hivi nope..kwa jinsi alivompata cheap ndivo kuachana kunakuwa cheap vile vile
 
Mganda angemwambia mwanaume kwamba waishi tu kwa upendo, mahari weka pembeni. Wazazi watachukia ila ni wakati wa kuachana na wazazi na kuambatana na umpendae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri. 52,8000,000 + shekeli 10 =52,810, 0000 then - shiling 52,8000,000(ambayo hupaswi kumpa mtu yoyote na si lazima uwe nayo ) = (inabaki) shekeli 10.
Hii shekeli 10 sawa na shilingi elfu 8 ndiyo pesa unapaswa kuwa muaji kwa ajili ya Bajaji, hayo mengine ni mbwembwe.
 
Moja ya vitu vinavyosingiziwa ukristo ni swala la mahari. Ukristo haupo specifically kuhusu insu ya mahari..ukristo ni mtu kumuacha Baba yake na Mama yake, swala mahari kiasi hiki ama kile ni tamaa za wakristo si ukristo.
SEMA.hii issue ya magari kubwa IPO ama haipo?
 
Ukristo haujataja mahari buanaaa acha urongo suala la mahari ni la familia husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado naziheshimu ndoa za waislam very cheap and nzuri na mwanamke kama amekulia kwenye dini hutakuja kujuta sema misimamo yao ya tofauti za didi otherwise i still opting to muslam ladies
Hapo mtaalam umenena.
 
Dah uchunge ng'ombe kwa baba mkwe kwa mwaka mzima kama Yusufu sio?
 
Yeah uislaam umeliweka jambo hili kuwa rahisi mnaoana mkishindwana mnaacha kila mtu na maisha yake
Ndio maisha.wewe unawaza Nini unaposikia mume kamuua mkewe?Wamelazimishwa kuishi wanauwana Hadi kuchomana na magunia ya mkaa.

Mimi nafikiri watu wakishindwana waachane kwa amani Kuna maisha mbeleni.
 
Tatizo ni mahari kuhusishwa na uwekezaji uliofanywa na wazazi kwa bint yao hapo ndio mwanzo wa kupaza bei.
Hivi usomeshe bint private up to university halafu washenga wanakuja kutaka kuoa kwa laki5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…