Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Mahari ni zawadi Tu Kwa mwanamke...na ndio maana ktk Uislamu mwanamke ndo anachagua mwenyewe...Ila huko kwengine ndio inakuwa biashara
 
Ubarikiwe sana
 
Sio dini ya kikristo inapanga mahari ni mila na desturi acha kuichafua dini ya wenyewe…
Hao walifikiri wamepata kitega uchumi…
Mimi wajomba zangu ni wakristu sana wengine mapadre lakini swala la mahari wanapinga mwanzo mwisho wanasema mtoto wa kike sio commodity…
So rekebisha kauli sio dini ya Kikristo ni jamii na jamii
 
Lkn hao wadada walikosea kwasababu..Mwenyezi Mungu alisema wanawake wapewe mahari Yao mara wanapoolewa...huenda hawakujua tu
 
Jiko la kiislamu ni cheap kuanzia mahari mpka harusi lakini unakuta harusi za kikristo ndiyo zinaongoza kwa kuchangishana michango ya harusi unakuta harusi inagharimu milioni 10+ afu wakitoka apo wanapanga chumba kimoja na sebule jumla kodi 100k kwa mwezi na zawadi zao za mabeseni na vijiko walivyopata siku ya harusi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mimi nefa nefa kufanya hivyo japo home ni wakristo ndani nje
 
Hao wa kuwa β€˜disflower’ nyie mnawapataga wapi wenzetu? Au huwa hamuogopi miaka 30?
 
Ndio million tisa sasa
 
Mkuu mfano wewe umeenda kuoa wazazi wa Binti wakataja mahari utafanya nini?
Utaanza kuwapiga darasa au ili wasikutoze sababu ni iumdunisha mwanamke?
Issue ya mahari ipo kitamaduni zaidi sidhani kama inahusiana na kuuzwa au kudunishwa kwa mwanamke.
 
Hamna kitu Kama hiyo unazijua ndoa za jumatano?
 
Na wewe tayari mkuu au tuandae laki tatu chap upate ndoaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mimi ninachokumbuka waliokuja kuwa kwetu wote sisi familia ndio tumespend pesa kuliko hiyo mahali.

Kukarimu wakwe na ndugu wa upande wetu inakuwaga siyo shughuri ya kitoto, hiyo mahari ni formality tu ya vitu vya kimila mama wa mama, blangeti la bibi then pesa inayobaki anachukuwa mwenyewe muolewaji, hatujawahi kuwaza kunufaika na mahari.
 
Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!



na kuonja humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…